Joti wa Ze Komedi

Jamani mbona sijawahi kumsikia Joti akitajwa kuwa na msichana au mke?
Huwa namuona akiigiza kama mdada, na pia nasikia watoto wa mjini walisha wahi kumla kiboga.
Jamani Joti, si bora utafute lidada limoja utulie nalo?
Nakupongeza nasikia umejenga huko Kigamboni, ila nyumba bila mwanamke ni ghetto.

Bila shaka wewe utakuwa ni DUNGAYEMBE,si umtafute uombe nafasi kama haina mtu.
 
nazani bado watu wanatakiwa wapewe elimu ya maigizo na uhalisia-
joti anaigiza-haimaanishi ndivyo alivyo
 
Mkuu Joti anatongozwa mbaya,mi nilikuwa nashare password na x wangu facebook,yaani nilikuwa namkuta Joti kwenye inbox ya x wangu anazingua kishenzi....labda huo uzushi,ila hatuwezi tukajua privancy ya mtu.
Mimi wala simshangai huyo x wako,mwaka jana mwanzoni hawa mastaa wetu wakike waigizaji/waimbaji waliulizwa kati ya mastaa wakiume nani mnamkubali kwa mambo ya chumbani ? na jina la Joti lilitajwa sana walidai jamaa ana miguu mitatu na anajua kuutumia huo wa ziada.Sasa hili la sijui wana-mkameron sidhani kama ni kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom