Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Huyu Jamaa atakuwa na hisia za kike kiasi maana tokea alipoanza kuigiza mdada basi ndio kakolea sana... nilisikia kuwa aliulizwa hasumbuliwi na mashababi yakitaka kumbandua akasema anasumbuliwa sana Swali mbona haachi?
 
Anapenda
 
Jamii inategemea kupata burudani na elimu kutoka kwa kioo kama hiki cha jamii, kudharau mambo madogo madogo kama haya ndo jamii inazidi kuharibika. Ni vema scene ya mwanamke awekwe mwanamke na ya mwanaume awekwe mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…