Huko mbele wapi?Iv Commedy za wenzetu Huko mbele mbona hawana hii kasumba..!!
Tuambizane jamaniView attachment 421561...
Kila kitu kina kiasi chake! Ukipitiliza kiasi maswali yatakuwa mengi

Jman jot ni comedy too hakun lolote anaweza kufany baya..View attachment 421561...
Kila kitu kina kiasi chake! Ukipitiliza kiasi maswali yatakuwa mengi
Hua nahisi ni chakula cha pwani huyu jamaa, si bureKiasi ni jambo nzuri
AnapendaHuyu Jamaa atakuwa na hisia za kike kiasi maana tokea alipoanza kuigiza mdada basi ndio kakolea sana... nilisikia kuwa aliulizwa hasumbuliwi na mashababi yakitaka kumbandua akasema anasumbuliwa sana Swali mbona haachi?
Unamfahamu MADEA!Iv Commedy za wenzetu Huko mbele mbona hawana hii kasumba..!!
Punguza haraka mkuu.Upimbavi huu
Upumbavu wa hali ua juu