meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Nimemuona Joti akiwa kwenye kipindi cha kutafuta wasanii wa filamu kinachokwenda kwa jina la TMT na kurushwa na television ya ITV dada wa EATV !
Kipindi kinamilikiwa na mtu mwingine tu joti ye kaajiliwa tu, basi kama ni hivyo hata tangazo la Tigo na la blue band lisiruswe ITV kisa yumo joti? Jiongeze mtoa mada
unafahamu kuhusu conflict of interest?Wenye kipindi cha TMT ni prons intertainment.. na sio Mengi
You are not a great thinker
kwahiyo basi hata matangazo ya tigo ya joti yasirushwe na vituo vya mengi?unafahamu kuhusu conflict of interest?
kwahiyo basi hata matangazo ya tigo ya joti yasirushwe na vituo vya mengi?
Post ya kitoto nenda kalale huna jipya, ubongo wako hauna ushirikiano kabsa
Nimemuona Joti akiwa kwenye kipindi cha kutafuta wasanii wa filamu kinachokwenda kwa jina la TMT na kurushwa na television ya ITV dada wa EATV !