huna lolote kwanza nasar keshatoa ufafanuz wa yale aliyotamka.Na ukae ukijua nasar kama nasar wala si chadema! So muiache chadema ifanye mambo yake.
Kwenye red kuna kitu hapo. Kwani kuna mbunge mmoja aliwahi kusema wafunge milango wapigane, alikuwa wa chama gani? Alikuwa na lengo la kukiharibu chamachake au ni uwezo wake tu wa kufikiri? Hata JF members tunatofautiana uwezo na uzeofu katika maisha. Ndio maana tunapata hoja na michango inayokinzana sana.He! yamekuwa hayo tena. Hivi huwezi kuamini kuwa uwezo wa baadhi ya viongozi wa CDM ni mdogo sana, kama ambavyo ilivyo kwa uwezo wa baadhi ya viongozi wa CCM. Hivi kila tatizo la CDM ni CCM kweli? mmmhh
msemo wa mgema akisifiwa tembo hulitia maji, dalili zaonyesha cdm wamelewa misifa hivyo wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja uongozi wa kitimu ndani hiki chama haupo.
Imethibitika katika mkutano wa unga ltd, mbunge nasari katoa tamko la ubaguzi na kuthibitika hiki chama ni cha kanda ya kaskazini tu, wengine ni abiria.
Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, cdm ni kwa ajili wa kanda moja!!!!
Kuna matukio mengi yanayoonyesha cdm hawana utashi wa kuongoza tz, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. Tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya ziwa, kusini nyanda za juu waliovutwa na upepo wa msimu wa cdm pasipo kujua undani wa wamiliki wa cdm; ambao ni mbowe & mtei co.
Najua wafuasi wa cdm toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.
Hamasa za kisiasa hizo haswa pindi unaposhuhudia mauaji ya watu wasio hatia,unapoona haki za wananchi uliokuwa nao wengine wazazi wako wengine viongozi wako wakihangaikia ardhi ,ukiona umaskini ulikithiri na wa kutupwa kati ya wananchi unaowaoongoza huko jeshi la polisi likijifanya kufumba macho kwa wauaji tumeona hapo Arusha wale walioua wananchi tareke 5 hakuna kitu kimefanya ,Polisi wamechagiza wabunge wa chadema wacharangwe mapanga hawajachukua hatua yeyote,wameua bila ajizi wananchi kule songea,mbeya,mwanza,geita,nyamongo kweli roho inauma,hata mimi ningekuwa mwanasiasa ningesema vivyo
Kwa kweli naanza kupata wasiwasi kuhusu kijana mzalendo mwana Demokrasia kwa kuanza anavyofanya katika uwanja wa Siasa hapa Tanzania,... ''Kuhusu kwamba Sehemu ya Kaskazini Ijitenge, Iwe Jamuhuri yake''. Inawezekana ni wazo au ni mojawapo ya sera Lakini SI WAKATI HUU kwa sasa, Kwani Chama Tawala kinaweza kutumia kama njia ya Kukiharibu Chadema kwa Wananchi ambao tayari walishaanza kuweka matumaini na Kumshukuru MUNGU kuwa wamepata Chama cha kuwakomboa na cha Chama cha kupeleka Sauti zao Bungeni na kwenye Serikali.
NAJIULIZA,..
1. Inawezekana huyu kijana Alisha kuwa SETUP (Kuwekwa Pandikizi) toka yupo Chuoni kama wengine walivyofanywa?
2. Au Ameshaongwa hela Ili aje Aharibu chadema?
Sielewi lakini naamini MUNGU Atasimama kwa Raia zake,....!
Nasari aliwakilisha kile ambacho viongozi wa Chadema hukisema hasa wanapokuwa wenyewe tu. Kwa hiyo kile alichosema Nasari ni kile hasa Chadema wanaplan kwa nchi yetu nzuri Tanzania. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".[NARUDIA KUSEMA TENA NA TENA NASARI AMENENA KAMA YEYE NA SIO CHADEMA KWAN KAULI YAKE SI YA CHAMA.
Msemo wa mgema akisifiwa TEMBO hulitia maji, dalili zaonyesha CDM wamelewa misifa HIVYO wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja UONGOZI WA KITIMU NDANI HIKI CHAMA HAUPO.
Imethibitika katika mkutano wa UNGA LTD, mbunge Nasari katoa tamko la UBAGUZI na kuthibitika hiki chama ni cha Kanda ya Kaskazini tu, wengine ni abiria.
Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, CDM ni kwa ajili wa KANDA MOJA!!!!
Kuna matukio mengi yanayoonyesha CDM hawana utashi wa kuongoza TZ, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya Ziwa, Kusini Nyanda za Juu waliovutwa na upepo wa msimu wa CDM pasipo kujua undani wa wamiliki wa CDM; ambao ni Mbowe & Mtei Co.
Najua wafuasi wa CDM toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.
Msemo wa mgema akisifiwa TEMBO hulitia maji, dalili zaonyesha CDM wamelewa misifa HIVYO wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja UONGOZI WA KITIMU NDANI HIKI CHAMA HAUPO.
Imethibitika katika mkutano wa UNGA LTD, mbunge Nasari katoa tamko la UBAGUZI na kuthibitika hiki chama ni cha Kanda ya Kaskazini tu, wengine ni abiria.
Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, CDM ni kwa ajili wa KANDA MOJA!!!!
Kuna matukio mengi yanayoonyesha CDM hawana utashi wa kuongoza TZ, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya Ziwa, Kusini Nyanda za Juu waliovutwa na upepo wa msimu wa CDM pasipo kujua undani wa wamiliki wa CDM; ambao ni Mbowe & Mtei Co.
Najua wafuasi wa CDM toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.
Leo baada ya mahojiano na polisi Arusha mjini zaidi ya masaa sita,Nassari akiongea na waandishi wa habari alisema "Mimi ni mdogo,kama ninauwezo wa kuigawa nchi hii basi nchi hii haikupaswa kuwepo"
Source;ITV News 2000hrs*
Wee gamba vipi?? kila kiungo kipe nafasi yake inayostahili kwenye utendaji. Kichwa na akili uvitumie kwaajili ya kufikiria vizuri na kutafakari mambo yaliyo ya msingi na masaburi yatumie kwaajili ya kutolea mambo fulani toi, cha ajabu wewe unatumia masaburi yako vice versa.
Kama ishu ni kwamba Nassari katamka wakaskazini wajitenge basi hiyo itakuwa ni kauli ya Nassari ambaye ni mtu mmoja tu, je unafahamu ni Wazanzibar wangapi ambao wanataka wajitenge kutoka ktk Jamhuri wa Muungano wa Tanzania? kati ya hao Wazanzibar wote wanaotaka kujitenga, unajua kuwa wanachama wa CCM ni wangapi? Chama gani chenye lengo la kuuvunja Muungano kati ya Chadema na Magamba? Fikiria kama Great Thinker kijana kabla hujaandika utumbo wako hapa.
Tumia kichwa ili busara ichukue mkondo; Nasari ki kiongozi, siku zote ni vigumu kutengenisha kauli ya kiongozi na kuali yake binafsi TENA iwapo atakuwa katika jukwaa. Kauli ile ilitolewa kweupe siyo gizani!! Tatizo nyie wafuasi wa CDM hamtaki kuambiwa UKWELI