What? teh teh teh tehNdg Nassari,wakati El akihutubia mkutano wa kampeni alisema maneno haya,wananchi wamchague sioi ili awaongoze wabunge wa Arusha kwenda kumuona waziri wa ardhi Pro.Anna Tibaijuka kwa kuwa yeye ndiye M/kiti wa wabunge wa Arusha. Sasa mwambie ww ndie uliyechagulia,tatizo la ardhi,maji,umeme etc.ni la wanaarumeru sio la Sioi. Sasa atumie nafasi ile ile ya M/kiti,na ahadi ile ile mkamuone waziri kwa maendeleo ya Arumeru.
Ukiinuliwa na wanadamu kama SIOI wanadamu hao watakushusha,ukiinuliwa na MUNGU kama NASARI hakuna binadamu atakushusha.