Joshua Nassari kamuone Lowassa mara moja

Joshua Nassari kamuone Lowassa mara moja

Mimi ndiye ENG, serikali yote ya JK iko mikononimwangu, yoyote ajaye kwangu sitamtupa kamwe
 
Kama aremrekodi itawezekana lakini vinginevyo atarukwa mita1000 na kutakiwa kuthibitisha hayo maneno wee unacheza na wazee wa uthibitisho?
 
Lowassa ni nani kwani hapa Tanzania hana lolote, Nassari wala usimsogelee atakushikisha sumu bure, nenda kwa Tibaijuka wewe mwenyewe atakuelewa zaidi kuliko kutumia mtu mwingine ambaye ana kinyongo cha mkwe wake kupigwa chini kwenye uchaguzi. Kama ulivyoanza na Mungu endelea na Mungu kwa kila kitu hakuna binadamu yeyote aliye juu yake. Lowassa naye kitu gani mpaka apewe sifa zote hizo kama ni hela ni za kwake na familia yake, angekuwa tajiri kama anavyojiadai angelisha kila familia ya mtanzania na kuwatimizia shida zao, kwa sababu hiyo basi hana lolote zaidi ya kuwa binadamu kama wengine mengine yote mbwembwe tu.
 
Mnamwrndekeza sana lowassa. Ni lowassa ndiye anatakiwa kwenda kumuona na kumuomba upatanisho Nassari.

Mkuu MM,sikuwa na maana Joshua amtukeza el,bali nataka wananchi/wapenda maendeleo wasindanganywe na ahadi ambazo hazipo,by the way el aliwahi kuwa waziri wa maji,pia waziri mkuu hakurekebisha hayo matatizo. Kwa uhalisia hata Sioi ageshinda ilikuwa ni kwa manufaa ya el na Sioi na sio wananchi.
 
Ndugu Nassari, wakati El akihutubia mkutano wa kampeni alisema maneno haya, wananchi wamchague sioi ili awaongoze wabunge wa Arusha kwenda kumuona waziri wa ardhi Pro.Anna Tibaijuka kwa kuwa yeye ndiye M/kiti wa wabunge wa Arusha.

Sasa mwambie ww ndie uliyechagulia, tatizo la ardhi,maji,umeme etc. Ni la wana-Arumeru sio la Sioi.

Sasa atumie nafasi ile ile ya M/kiti, na ahadi ile ile mkamuone waziri kwa maendeleo ya Arumeru.

hana haja ya kwenda kumuona.... anaweza kufikisha ujumbe bila kumuona EL
 
Shindwa kwa Jina la Yesu na Mlegee ....Amen. Mnataka kijana akapewe Polonium? !!! Nassari ni Mheshimiwa sasa, Celebrity. Joshua ataongea na Tibaijuka Direct. full stop. Mama Tibaijuka akileta za kuleta, Nguvu ya Umma itafanya kazi.\

Mnakumbuka yaliyompata Aloyse Kimaro?????
 
Jaman tunashusha hadhi ya JF kwa stail hii ya kupapatikia watu ingawa wengine wanatumwa na yeye. Gadaf alikuwa na hela na mamlaka kubwa libya ila siku ya mwisho walimchomoa kwenye karavat. Sasa iwe lowasa jaman?
 
Back
Top Bottom