Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

Status
Not open for further replies.
Huyu nae legelege sana, kutoka damu puani ndio mpaka aende hospitali.

Ajabu sana!! Yaani kutoka damu puani ndiyo suala la kitaifa? huyu lgelege vipi huyu dogo mazee? sasa wanawake walalamike nini kama wanaume tunaanza kulalamika kutoka damu puani
 
nassari akiwa hoi baada ya kupigwa na wanajeshi wa mwigulu wakiwa lengo ni kuua kabisa..
hivi alipigwa kwa kutumia taulo? Naona hata alama ya ushahidi wa kipigo hana,nilisha sema huyu kijana ni legelege sana. Utakuta kapigwa kofi moja tu mpaka akalazwa.
 
Hatutakula sahani moja!! hawawezi kutusukuma hivi subiri uone muziki upande wa pili siku si nyingi!

Basi Chadema mtakula jeuri yenu sisiem is a different animal scares no one...., kama hamtaki kula sahani moja na sisiem basi jiandaeni kwa makubwa zaidi, kaeni chini mfikiri jinsi ya kula sahani moja na sisiem, mnataka pa kuanzia njooni Zanzibar mjifunze siasa za ushindani bila vita, makamu wa raisi ana msubukua raisi hadhari bila ya vita wala kutumia Polisi kurusha mabomu, njooni Zanzibar mjifunze siasa bila vita looooooser Chademas
 
ZNZ ni tofauti na hapa usipotoshe!! waznz waliamua Zanzibar kwanza chama baadaye; Karume alimwita Seif wakateta kwamba tupiganie NCHI yetu! Maalimu amekubaliana na Shein ili kukomboa Zanzibar toka bara: Hizi FISI za Bara hazina muafaka zaidi ya kukomba kila kitu na kuua wanaoyazuia kuiba! JIBU NO RETREAT NO SURRENDER ni kuzipiga tu sasa!!
 
Kuendelea kukifuata Chadema sawa kuwa jela ya kifra kila siku mbowe anawaueni wewe bad ufuata chama hilo wewe ukotimamu.
 
hivi alipigwa kwa kutumia taulo? Naona hata alama ya ushahidi wa kipigo hana,nilisha sema huyu kijana ni legelege sana. Utakuta kapigwa kofi moja tu mpaka akalazwa.

Haya ndio malipo ya uongozi wa Chadema kutokwenda shule, when it come to reality wanatafuta huruma za wapiga kura, they can't earn by themselves, watuletee X-ray film tuone hiyo athari ya kipigo kama kweli kapigwa au Chadema wanataka huruma wa wabairbaig.
 
Wakubwa nasikia Ni maagizo ya lowassa chini ya katibu tarafa makuyuni PAULO KITELEKI, ndio mjue wako wenye madaraka hata ya kuondoa uhai wa watu lowassa kawambia kwamba hata kwa kumwaga damu lazima ccm ichukue kata ya makuyuni, huku Arusha jana wakiua kwa maagizo ya mwigulu.POLENI WATZ ILA NAOMBA TUSHAKAMANE KWA HAYA YOTE WANAO PATA NDUGU ZETU WASIO NA HATIA.
 
nassari akiwa hoi baada ya kupigwa na wanajeshi wa mwigulu wakiwa lengo ni kuua kabisa..
Wakuu huyu ndo dogo janja kwa hiyo jamaa walimzidi ujanja kweli siasa kazi au alifikiri ukiwa mh. Huwezi kupigwa kule kwa lowasa asingeenda unacheza na ed anamizizi huko.
 
nassari ana kihere here sana, kuvaa hivo vicombat tu anajifanya jemedari kumbe hana lolote, hao green guard wameshiba mafunzo ya kimgambo, sio watu wa kuwachezea.

hamy d kumbuka sana tena sana kuwa hata mbwa mkoko ukimfukuza sana akichoka atasimama na akisimama ndipo utakapokuwa mwisho wetu sote na hata wewe hutapata fursa ya kuchukua hako ka-laptop kako na kuandika huo uharo wako hapa jamvini.amini usiamini mioyo yetu inaumia na kuharibika sana na kamwe anayetawala in the expense of the blood of innocent people will never exist.kumbuka wanaomwaga damu si ninyi ccm au chadema bali ni damu za wadogo zetu,wazazi wetu, watoto wetu nk,na ninarudia tena mioyo yetu inaendelea kuharibika, msichezee uhai wa watu
 
nanahi ya mama yako
CCM haiwezi kukubali kushindwa ndio maana wanataka ushindi kwa njia yoyote ile lakini hawajui kuwa wanayo yafanya yanaweza kufanywa na yoyote yule bila ya kuhofu Kama pana polisi au jeshi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom