Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Mtakoma mwaka huu, acheni hizo chopa tumieni baiskeli tu. Tamaa za nini nyie wachumia matumbo?
 
Nawashauri wachumia matumbo wa CHADEMA muache kutumia hizo chopa na badala yake bora mupande maguta. Mbwembwe za nini? Mbona mnatetemeka? Au kwa vile mnajua kabisa hampati nafasi hata ya kukaribia geti la Ikulu?

Sasa hayo ndo matokeo ya tamaa zenu hizo, kila kukicha mnajigamba kwa machopa ya kukodi hayo, haya sisi yetu macho tutashuhudia mengi sana mwaka huu.
 
Watasema imetunguliwa na makombora ya police,nyie subirini mtasikia.
 
Hii ndiyo dhambi za kutoa ahadi bila kutekeleza aliahidi akishinda ubunge atamupa Halima Mdee kisha kamtelekeza je ahadi alizotoa wakati ea kampeni ataweza??

Kwan alikuwa anatembea na halima mdee unauhakika hiyo alisema tu kuhusu ahadi ccm imekaa miaka mingapi madarakani ahadi ngapi wametuahid na bado mpaka sasa hawajatimiza bora yy amekaa miaka 3 na nusu ila kajitahidi sana penye ukweli lazima tuseme.
 
Ni kwamba anashindwa kuzungukia jimbo kwa gari? Juzi tu hapa nimepost kuhitaji kujua umuhimu na ulazima wa Nassari kutumia chopa ndani ya jimbo kama sio ufujaji wa pesa... but pole kwake

Mkuu hiyo ni ajali tu kama zilivyo ajali zingine!! Hata angezungukia jimbo lake kwa gari bado angeweza kupata ajali vile vile ambayo labda hata ingemletea madhara makubwa kuliko hata hayo aliyoyapata kwenye hiyo ajali ya chopa.
 
Suala hapo ni kwamba akome kutumia hizo chopa maana sio size zake kila kukicha tunasikia yuko na chopa mara huku mara kule sasa kwanini asiachane nazo tu maana zitakuja kumuua bure!
 
Kwan alikuwa anatembea na halima mdee unauhakika hiyo alisema tu kuhusu ahadi ccm imekaa miaka mingapi madarakani ahadi ngapi wametuahid na bado mpaka sasa hawajatimiza bora yy amekaa miaka 3 na nusu ila kajitahidi sana penye ukweli lazima tuseme.
Limbwata la Mdee linamwandama huyo atakoma mwaka huu
 
Pole sana kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…