utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
isango ni mchumia tumbo,namjua vizuri halafu ni mlevi balaa.naona alitaka auze stori ili apate za kunywea kiroba
Al Nuur?Sheria ichukuwe mkondo wake kupambana na haya magazeti ya uchochezi.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,kuwakamata wana habari kama hawa ni kuminya uhuru wa habari. Kama taarifa imepotoshwa ni kazi ya wasemaji wa serkali kutuambia ukweli ni upi,Hii ni taarifa njema hawa waandishi na wahariri wanahatarisha AMANI ya taifa. na apewe adhabu kali ili iwe fundisho pia kama ikithibitika na kagazeti haka kafungiwe kabisa
Haya wafuasi wa CHADEMA gazeti lenu la udaku.
Usiwe chizi kama sura yako!! Gazeti la Tz Daima si la udaku, lile ni gazeti linaloandaliwa na wasomi na linasomwa na wasomi wenye kuelewa maana ya habari.Haya wafuasi wa CHADEMA gazeti lenu la udaku.
mkuu hii serikali yaani inatakiwa tuachane nayo 2015 maana inatia aibu sanaHivi kati ya Isango na Radio Iman wanaotangaza uchochezi kila siku yupi wa kukamatwa kwanza? Gazeti limeshaomba radhi sasa mahojiano ya nini kama si kutishana tu?
Wachochezi wanaachwa lakini wale wenye harufu ya Chadema tu maadui wa jeshi la polisi!!!
Sheria ichukuwe mkondo wake kupambana na haya magazeti ya uchochezi.
Wanaua raia, bado tu, wanamwagia tindikali mashehe, bado tu, wanafunga mashehe, bado tu, wanaua mapadre, bado tu, sasa wanakamata wanahabari nakufifisha habari za uovu wao,Wanajamvi salaam; kwa taarifa za hivi punde ni kuwa Josephat Isango ambaye ni Mhariri wa habari wa Tz Daima amekamatwa na Polisi na anapelekwa ofisi ya DCI kwa mahojiano zaidi.
Ni kutokana na stori aliyoandika juzi kuwa IGP na Nchimbi walifukuzwa Geita kwenye mgogoro wa kuchinja.
Source: Mimi mwenyewe.
Update: Baada ya kumhoji wameenda pia kupekua anakoishi maeneo ya Sinza
Ukishayaona hay ni dalilili za utawala ulioshindwa kufikia ukomo wa kutawala, unachoshabikia ni anguko la hao unaowashabikia.Hii ni taarifa njema hawa waandishi na wahariri wanahatarisha AMANI ya taifa. na apewe adhabu kali ili iwe fundisho pia kama ikithibitika na kagazeti haka kafungiwe kabisa
Sheria ichukuwe mkondo wake kupambana na haya magazeti ya uchochezi.
Hivi kati ya Isango na Radio Iman wanaotangaza uchochezi kila siku yupi wa kukamatwa kwanza? Gazeti limeshaomba radhi sasa mahojiano ya nini kama si kutishana tu?
Wachochezi wanaachwa lakini wale wenye harufu ya Chadema tu maadui wa jeshi la polisi!!!