Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,532
Reaction score
3,535
Kila mtu anasema lake..
Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji!

Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa kumtambua, akapita katikati yao,akapanda gari na kutoweka

Hizo zote ni assumptions za watu wanaotumia hekima na ufahamu wa kidunia kufanya judgement ya hili. Hekima ya kidunia daima huwa ni hekima ya shetani.

Hakuna sahihi hata moja miongoni mwa hizo mbili hapo.

KAMA HATUMII UCHAWI AU HAKUVAA DERA, SASA ALIWEZAJE KUPITA KATIKATI YA POLISI NA KUWAACHA SOLEMBA MPAKA LEO?

View: https://youtu.be/CIZpwUz2Ik0?si=PwHUTGqWp9ltnr1a

Yesu Kristo, mwokozi wetu amepitia misukosuko na majaribio mengi ya kutaka kuuwawa na utawala wa Kirumi na Wayahudi kabla ya wakati wake. Mara zote, aliwaacha solemba watekaji na wauaji hao akipita katikati yao wasimtambue. Na waliishia kujiuliza katuachaje na kaenda wapi.

Mojawpo ya tukio ni hili👇lililorekodiwa ktk kitabu cha;

Luka 4:28-30 BHN
"...Wote waliokuwa katika lile sinagogi waliposikia hayo walikasirika sana. Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini. Lakini Yesu akapita katikati yao, akaenda zake..."​

Hapa Yesu akiwaacha solemba wauaji bila wao kujua kwa style ya Askofu Gwajima. Walishitukia mtu waliyekuwa wamempiga pingu, ghafla anawaachia pingu zao na kutoweka wasijue kaondokaje na kaenda wapi!

Hapa unaweza kusema, huyu alikuwa Yesu. Mtu mwingine kama Gwajima au Tundu Lissu hawezi mbele ya Polisi "wasiojulikana" hawezi.

Sio kweli. Hata wewe unaweza ukimwamini na kumkiri Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wako kuanzia Leo!

Mtume Paul na mwenzake Sila nao walifungwa gerezani kule Efeso kwa kuonewa tu bila kosa kama alivyofungwa Lissu leo kwa uonevu tu. Ulinzi wa gereza walilokuwa wamefungwa Paulo na Sila ulikuwa mkali, Ukonga ni cha mtoto. Lakini nguvu ya Mungu isiyo na kizuizi iliwatoa. Soma👇
Matendo 16:25-28 BHN
"...Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza. Ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana. Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka, na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua. Lakini Paulo akaita kwa sauti kubwa: “Usijidhuru mwenyewe kwa maana sisi sote tuko hapa.”
Hapa tunaona nguvu ya Mungu haikuzuiwa na askari wala gereza kufanya kazi yake. Ukiendelea kusoma zaidi sura hii yote, utaona kuwa muujiza ule ulifanya maaskari na mkuu wa gereza lile kuiishia kumwamini Yesu Kristo/Mungu na kuokoka!

#Na nyie wengine kwanini mnakuwa brainwashed na wafuasi wa uganga wa kienyeji na wachawi kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko serikalini? Huyu mama (Rais Samia) utam - define vipi iwapo huombewa na majini? Je, si kwamba yeye ndiye hasa mchawi?

#Mch Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake pia, ndio uwezo wake pia, ndio uwezo na nguvu zako na mimi pia iwapo tu tutakiri na kumwamini!

#Askofu Josephat Gwajima, haikuwa wakati wake kwenda Polisi kwa mtindo na namna ile ya utekaji. Mungu alizuia hilo. Akawapiga upofu na kupita katikati yao.

Yatasemwa mengi na wachawi. Lakini, that's the undisputed fact!
 
Hizi dharau sasa,alivaa dera?
Lakini katika kukimbia mikono michafu hata Abaya navaa aisee
 
Kila mtu anasema lake..

Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa kumtambua, akapita katikati yao,akapanda gari na kutoweka

Hizo zote ni assumptions za watu wanaotumia hekima na ufahamu wa kidunia kufanya judgement ya hili. Hekima ya kidunia daima huwa ni hekima ya shetani.

Hakuna sahihi hata moja miongoni mwa hizo mbili hapo.

KAMA HATUMII UCHAWI AU HAKUVAA DERA, SASA ALIWEZAJE KUPITA KATIKATI YA POLISI NA KUWAACHA SOLEMBA MPAKA LEO?

Yesu Kristo, mwokozi wetu amepitia misukosuko na majaribio mengi ya kutaka kuuwawa na utawala wa Kirumi na Wayahudi kabla ya wakati wake. Mara zote, aliwaacha solemba watekaji na wauaji hao akipita katikati yao wasimtambue. Na waliishia kujiuliza katuachaje na kaenda wapi.

Mojawpo ya tukio ni hili👇lililorekodiwa ktk kitabu cha;

Luka 4:28-30 BHN
"...Wote waliokuwa katika lile sinagogi waliposikia hayo walikasirika sana. Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini. Lakini Yesu akapita katikati yao, akaenda zake..."​

Hapa Yesu akiwaacha solemba wauaji bila wao kujua kwa style ya Askofu Gwajima. Walishitukia mtu waliyekuwa wamempiga pingu, ghafla anawaachia pingu zao na kutoweka wasijue kaondokaje na kaenda wapi!

Hapa unaweza kusema, huyu alikuwa Yesu. Mtu mwingine hawezi.

Sio kweli. Hata wewe unaweza ukimwamini na kumkiri kuwa ni Bwana na mwokozi wake

Mtume Paul na mwenzake Sila nao walifungwa gerezani kule Efeso kwa kuonewa tu bila kosa kama alivyofungwa Lissu leo kwa uonevu tu. Ulinzi wa gereza walilokuwa wamefungwa Paulo na Sila ulikuwa mkali, Ukonga ni cha mtoto. Lakini nguvu ya Mungu isiyo na kizuizi iliwatoa. Soma👇
Matendo 16:25-28 BHN
"...Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza. Ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana. Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka, na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua. Lakini Paulo akaita kwa sauti kubwa: “Usijidhuru mwenyewe kwa maana sisi sote tuko hapa.”
Hapa tunaona nguvu ya Mungu haikuzuiwa na askari wala gereza kufanya kazi yake. Ukiendelea kusoma zaidi sura hii yote, utaona kuwa muujiza ule ulifanya maaskari na mkuu wa gereza lile kuiishia kumwamini Yesu Kristo/Mungu na kuokoka!

#Na nyie wengine kwanini mnakuwa brainwashed na wafuasi wa uganga wa kienyeji na wachawi kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko serikalini?

#Mch Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake pia, ndio uwezo wake pia, ndio uwezo na nguvu zako na mimi pia iwapo tu tutakiri na kumwamini!
MKONO WA BAUNSA UNASEMWAJE KWENYE BIBLIA?
 
Kila mtu anasema lake..
Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji!

Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa kumtambua, akapita katikati yao,akapanda gari na kutoweka

Hizo zote ni assumptions za watu wanaotumia hekima na ufahamu wa kidunia kufanya judgement ya hili. Hekima ya kidunia daima huwa ni hekima ya shetani.

Hakuna sahihi hata moja miongoni mwa hizo mbili hapo.

KAMA HATUMII UCHAWI AU HAKUVAA DERA, SASA ALIWEZAJE KUPITA KATIKATI YA POLISI NA KUWAACHA SOLEMBA MPAKA LEO?

Yesu Kristo, mwokozi wetu amepitia misukosuko na majaribio mengi ya kutaka kuuwawa na utawala wa Kirumi na Wayahudi kabla ya wakati wake. Mara zote, aliwaacha solemba watekaji na wauaji hao akipita katikati yao wasimtambue. Na waliishia kujiuliza katuachaje na kaenda wapi.

Mojawpo ya tukio ni hili👇lililorekodiwa ktk kitabu cha;

Luka 4:28-30 BHN
"...Wote waliokuwa katika lile sinagogi waliposikia hayo walikasirika sana. Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini. Lakini Yesu akapita katikati yao, akaenda zake..."​

Hapa Yesu akiwaacha solemba wauaji bila wao kujua kwa style ya Askofu Gwajima. Walishitukia mtu waliyekuwa wamempiga pingu, ghafla anawaachia pingu zao na kutoweka wasijue kaondokaje na kaenda wapi!

Hapa unaweza kusema, huyu alikuwa Yesu. Mtu mwingine kama Gwajima au Tundu Lissu hawezi mbele ya Polisi "wasiojulikana" hawezi.

Sio kweli. Hata wewe unaweza ukimwamini na kumkiri Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wako kuanzia Leo!

Mtume Paul na mwenzake Sila nao walifungwa gerezani kule Efeso kwa kuonewa tu bila kosa kama alivyofungwa Lissu leo kwa uonevu tu. Ulinzi wa gereza walilokuwa wamefungwa Paulo na Sila ulikuwa mkali, Ukonga ni cha mtoto. Lakini nguvu ya Mungu isiyo na kizuizi iliwatoa. Soma👇
Matendo 16:25-28 BHN
"...Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza. Ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana. Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka, na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua. Lakini Paulo akaita kwa sauti kubwa: “Usijidhuru mwenyewe kwa maana sisi sote tuko hapa.”
Hapa tunaona nguvu ya Mungu haikuzuiwa na askari wala gereza kufanya kazi yake. Ukiendelea kusoma zaidi sura hii yote, utaona kuwa muujiza ule ulifanya maaskari na mkuu wa gereza lile kuiishia kumwamini Yesu Kristo/Mungu na kuokoka!

#Na nyie wengine kwanini mnakuwa brainwashed na wafuasi wa uganga wa kienyeji na wachawi kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko serikalini? Huyu mama (Rais Samia) utam - define vipi iwapo huombewa na majini? Je, si kwamba yeye ndiye hasa mchawi?

#Mch Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake pia, ndio uwezo wake pia, ndio uwezo na nguvu zako na mimi pia iwapo tu tutakiri na kumwamini!

#Askofu Josephat Gwajima, haikuwa wakati wake kwenda Polisi kwa mtindo na namna ile ya utekaji. Mungu alizuia hilo. Akawapiga upofu na kupita katikati yao.

Yatasemwa mengi na wachawi. Lakini, that's the undisputed fact!
Pamoja na maelezo yako yote ya kujaribu kumkuza Gwajima, bado Gwajima ni mdogo, mjinga, mwoga, shetani na asiye na uwezo wowote kufanya chochote zaidi ya kuwalaghai wajinga kama wewe mtoa post.
 
MKONO WA BAUNSA UNASEMWAJE KWENYE BIBLIA?
Ewe Mgalatia usiye na akili, ni nani aliyekuroga hata unashindwa kuelewa elimu rahisi kama hii?

Shetani anakudanganya kirahisi vile na kuamini Bishweko?

Aah, you are better than that ndugu. Amka toka usingizini
 
Pamoja na maelezo yako yote ya kujaribu kumkuza Gwajima, bado Gwajima ni mdogo, mjinga, mwoga, shetani na asiye na uwezo wowywa kufanya chochote zaidi ya kuwalaghai wajinga kama wewe mtoa post.
Asante kwa maoni yako

Hata hivyo, jibu la mawazo yako haya yapo hapa👇👇
1 Wakorintho 1:27-28 TKU
"....Lakini Mungu aliyachagua mambo ambayo wanadamu huyachukulia kuwa ya kipumbavu ili ayaaibishe yenye hekima. Aliyachagua mambo yanayoonekana kuwa manyonge ili ayaaibishe yenye nguvu. Aliwachagua wasio kitu ili ayaangamize yale ambayo ulimwengu unadhani ni muhimu..."

Ndugu Mtoto wa Shule Mungu Yuko kazini kuangamiza yote mnayodhani ni ya muhimu. Bila shaka wewe unadhani Samia Suluhu Hassan na CCM ni muhimu. Sasa inakwenda kuangamia!
 
Wangefanikiwa kumkamata usiku ule,

Wasingemfikisha kituoni,

Yale ya Mdude yatufunze kuwa majasusi!
Hakika

Ile ilikuwa ni ambush ya utekaji.

Ktk saga hili lote, mlengwa ni Askofu na Mchungaji Josephat Gwajima wala sio kanisa lote kama kanisa

Ukichunguza vizuri, utathibitisha yafuatayo kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wanamtafutia kipengere au kaupenyo fulani tu kakumsingizia kuwa amevunja sheria fulani Ili wammalize

Lakini he was ahead of them 1,000 miles

Pamoja na hayo, wamefanya makosa mengi sana ndani ya utaratibu wa kisheria:

Angalia makosa yao:
1. Barua: imeli address kanisa au taasisi nyingine tu na sio ya inayoongozwa na Josephat Gwajima. Kanisa linaloongozwa na Gwajima ni Glory Of Christ Tanzania Church (GCTC). Wao waliliandikia barua kanisa jingine linaitwa Glory of Christ Church (GCC)

2. Utekelezaji: Sheria inataka kutoa notice kwanza kabla ya kufuta usajili wa kanisa. Jamaa hawakuwahi kutoa notice wala nini. Barua iliandikwa tarehe 2/6/2025 mchana. Jioni usiku wa saa Tano au sita siku hiyohiyo, Polisi wanakwenda kuzingira kanisa, kuzuia watu kufanya Ibada, kuwakamata na wengine kupigwa sana.

Haya yote ni ishara ya evil intention iliyomo ndani ya Samia na kundi lake la utekaji!
 
Asante kwa maoni yako

Hata hivyo, jibu la mawazo yako haya yapo hapa👇👇
1 Wakorintho 1:27-28 TKU
"....Lakini Mungu aliyachagua mambo ambayo wanadamu huyachukulia kuwa ya kipumbavu ili ayaaibishe yenye hekima. Aliyachagua mambo yanayoonekana kuwa manyonge ili ayaaibishe yenye nguvu. Aliwachagua wasio kitu ili ayaangamize yale ambayo ulimwengu unadhani ni muhimu..."

Ndugu Mtoto wa Shule Mungu Yuko kazini kuangamiza yote mnayodhani ni ya muhimu. Bila shaka wewe unadhani Samia Suluhu Hassan na CCM ni muhimu. Sasa inakwenda kuangamia!
CCM na Rais Samia wakiangamia, usisahau kunijuza. Nami baada ya Uchaguzi Mkuu nitakujuza.
 
Kila mtu anasema lake..
Rais Samia: Yeye indirectly, kusema bila shaka Gwajima dini yake ni ya kichawi. Kwa hiyo inawezekana alitoroshwa na wachawi Ili asiingie kwenye mikono ya watekaji!

Wengine wanasema: Siku hiyo, alijifanya mwanamke, akavaa dera, akawazuga Polisi kiasi cha kushindwa kumtambua, akapita katikati yao,akapanda gari na kutoweka

Hizo zote ni assumptions za watu wanaotumia hekima na ufahamu wa kidunia kufanya judgement ya hili. Hekima ya kidunia daima huwa ni hekima ya shetani.

Hakuna sahihi hata moja miongoni mwa hizo mbili hapo.

KAMA HATUMII UCHAWI AU HAKUVAA DERA, SASA ALIWEZAJE KUPITA KATIKATI YA POLISI NA KUWAACHA SOLEMBA MPAKA LEO?

Yesu Kristo, mwokozi wetu amepitia misukosuko na majaribio mengi ya kutaka kuuwawa na utawala wa Kirumi na Wayahudi kabla ya wakati wake. Mara zote, aliwaacha solemba watekaji na wauaji hao akipita katikati yao wasimtambue. Na waliishia kujiuliza katuachaje na kaenda wapi.

Mojawpo ya tukio ni hili👇lililorekodiwa ktk kitabu cha;

Luka 4:28-30 BHN
"...Wote waliokuwa katika lile sinagogi waliposikia hayo walikasirika sana. Wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini. Lakini Yesu akapita katikati yao, akaenda zake..."​

Hapa Yesu akiwaacha solemba wauaji bila wao kujua kwa style ya Askofu Gwajima. Walishitukia mtu waliyekuwa wamempiga pingu, ghafla anawaachia pingu zao na kutoweka wasijue kaondokaje na kaenda wapi!

Hapa unaweza kusema, huyu alikuwa Yesu. Mtu mwingine kama Gwajima au Tundu Lissu hawezi mbele ya Polisi "wasiojulikana" hawezi.

Sio kweli. Hata wewe unaweza ukimwamini na kumkiri Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wako kuanzia Leo!

Mtume Paul na mwenzake Sila nao walifungwa gerezani kule Efeso kwa kuonewa tu bila kosa kama alivyofungwa Lissu leo kwa uonevu tu. Ulinzi wa gereza walilokuwa wamefungwa Paulo na Sila ulikuwa mkali, Ukonga ni cha mtoto. Lakini nguvu ya Mungu isiyo na kizuizi iliwatoa. Soma👇
Matendo 16:25-28 BHN
"...Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza. Ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana. Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka, na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua. Lakini Paulo akaita kwa sauti kubwa: “Usijidhuru mwenyewe kwa maana sisi sote tuko hapa.”
Hapa tunaona nguvu ya Mungu haikuzuiwa na askari wala gereza kufanya kazi yake. Ukiendelea kusoma zaidi sura hii yote, utaona kuwa muujiza ule ulifanya maaskari na mkuu wa gereza lile kuiishia kumwamini Yesu Kristo/Mungu na kuokoka!

#Na nyie wengine kwanini mnakuwa brainwashed na wafuasi wa uganga wa kienyeji na wachawi kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko serikalini? Huyu mama (Rais Samia) utam - define vipi iwapo huombewa na majini? Je, si kwamba yeye ndiye hasa mchawi?

#Mch Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake pia, ndio uwezo wake pia, ndio uwezo na nguvu zako na mimi pia iwapo tu tutakiri na kumwamini!

#Askofu Josephat Gwajima, haikuwa wakati wake kwenda Polisi kwa mtindo na namna ile ya utekaji. Mungu alizuia hilo. Akawapiga upofu na kupita katikati yao.

Yatasemwa mengi na wachawi. Lakini, that's the undisputed fact!
Aisee
Askari Polisi walipigwa upofu, wakaona kila aliyekuwepo pale ni mwanamke, wakaachwa kwenye mataa
Ni kujilisha upepo kupambana na mkono wa Mungu
 
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
 
Bi Samia Suluhu Hassan ameamua kufuata njia ya Mfalme wa Babeli, Nebukadneza...

Alipiga marufuku watu wasimwabudu Mungu wa kweli (symbol: vijana waabudu Mungu wa kweli Shadrach, Meshach & Abednego)...

Badala yake akalazimisha watu wote ktk ufalme wake wote waabudu sanamu yake. Hawa vijana watatu Wacha Mungu wa kweli Yehova, walikataa kata kata kuabudu sanamu hiyo pamoja na kutishiwa kuwa wasipotii amri ya Mfalme watachomwa ktk tanuru la moto wa gesi ya kuyeyushia chuma cha pua...

Kilichotokea ni historia....

Mfalme Nebukadneza alipata adhabu kali kutoka kwa Mungu mwenyewe kwa kujigeuza Mungu wa kuabuduwa. Na vijana wale hata baada ya kutupiwa kwenye ule moto, makali ya moto yalizimwa na Mungu mwenyewe na hivyo moto hauwadhuru hata kiduchu..

Baadaye Mfalme Nebukadneza alilazimika kukubali muziki wa vijana wale watatu Shedrack, Meshack & Abednego. Aliinama na kupiga magoti mbele ya Mungu huyu wa kina Shadrack, Meshack na Abednego na kumwabudu. Na alitoa amri kwa watu wote ktk ufalme wake wamwabudu Mungu wa Shadrack, Meshack na Abednego...!!

Kwa tukio hili, tujiandae liko jambo kubwa litatokea Tanzania muda si mrefu. Nadhani la mwaka 2021 la kufiwa na Rais Magufuli ni cha mtoto. Hili lijalo ni kubwa mnoooo, ishara na dalili zote zinaonesha hivyo
 
mimi naamini, kwa sababu sisi vita yetu sio ya mitutu, ni ya maombi, tuendelee kupiga magoti tumlilie Mungu atukomboe toka kwenye mikono ya hawa wanaotarget makanisa. Mungu atatusaidia.
 
Back
Top Bottom