Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Kwa nn wasinge mshauri mpema asigombee kuliko kusubiri mpaka uchaguzi?
Yeye kasema nini sababu ya kuondolewa kwake?
Sioni tatizo la kuwa kiongozi wa walei,
na kuwa mbunge wa cdm.
Tusi tafune maneno hakuna m2 mwenhe akili timam asie jua kwamba cdm nichama cha kanisa anae bisha anyoshe kidole
we ulitaka habari za popobawa?Hii nayo ni habari? Great thinkers wanapungua JF