Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Jimbo linarudi Nccr mageuzi au Ccm.Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.
Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .