Joseph Musukuma ataka iundwe tume maalum kuchunguza uwajibikaji wa TAKUKURU

Nyakijooga

Senior Member
Dec 9, 2018
123
202
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma, leo Aprili 4, 2023 ametoa wito bungeni jijini Dodoma kuwa iundwe tume maalum kwa ajili ya kuchunguza utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), akidai kwamba inalinda wabadhirifu wa fedha za umma “haiwezekani tumejadili haya (ripoti CAG) mwaka jana na leo yanajirudia.”

"Mtu anaiba huku nyie mnamhamisha mnampeleka halmashauri nyingine, huku anaendelea na uchunguzi na anatumia pesa zetu kugharamia kesi.

Ngoma hii (ripoti ya CAG) ikija bungeni hatutaki tena kupiga swaga, ije tulale nao mbele" amesema Mbunbe wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma.
 
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma, leo Aprili 4, 2023 ametoa wito bungeni jijini Dodoma kuwa iundwe tume maalum kwa ajili ya kuchunguza...
Sijawahi kuwaamini hao takokuu

USSR
 
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma, leo Aprili 4, 2023 ametoa wito bungeni jijini Dodoma kuwa iundwe tume maalum kwa ajili ya kuchunguza utendaji wa Taasisi ....

Ngoja tuone:

Fs3cLceWwAcXiW1.jpeg
 
Back
Top Bottom