Ni mwenyekiti Wa CCM Wa mkoa Wa Geita, ni mfanyabiashara za madini ya Almasi katika mji Wa Geita. Halipi kodi popote, Elimu yake ni darasa la saba, ni muumini mzuri sana Wa mambo ya kishirikina, alikuwa mfuasi mtiifu Wa Lowassa kabla ya Lowassa kuhama CCM, Kwa sasa anajipendekeza sana kwa Magufuli huku akimtukana matusi mabaya Lowassa.