Joseph Mbilinyi(Sugu) abakie rumande kwa usalama wake, nilishauri hata Kwa Lissu

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
Safi Wakili wa Serikali aombe hili hapo kesho ili Sugu azidi kubakia rumande kulinda usalama wake.
 
nawe ni font ford unatafuta pale Lumumba. kipenzi cha wafanyakaz kwa kua wameongezewa salary, kuzuia mahind ya wakulima Na sasa debe ni elfu 7 wakati mwez July 17 wangeuza 22? ufahuru wa shule, kubomolea wananchi nyumba Na kuwapa fidia au kulipa wakandarasi?kati ya watajwa apo Juu taja kundi libalomfagilia
 
Kwakuwa wananchi wanaonekana sana kumkubali mheshimiwa Magufuli , ni vema wanaodili na kesi za watu ambao wako kinyume na Rais wa Tanzania wawe makini maana wana nchi wenye hasira Kali hawana mchezo na mtu anayepingana na Rais wao kipenzi

Niliwahi kushauri hata Kwa Lissu kwamba hakuna sababu ya kumuchia mapema Kwa usalama wake
Sioni sababu ya kumuachia Lissu Mapema, akiachiwa mapema asikamatwe tena tumeuchoka mchezo huu

Golden rule "Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio"
 
Kwakuwa wananchi wanaonekana sana kumkubali mheshimiwa Magufuli , ni vema wanaodili na kesi za watu ambao wako kinyume na Rais wa Tanzania wawe makini maana wana nchi wenye hasira Kali hawana mchezo na mtu anayepingana na Rais wao kipenzi

Niliwahi kushauri hata Kwa Lissu kwamba hakuna sababu ya kumuchia mapema Kwa usalama wake
Sioni sababu ya kumuachia Lissu Mapema, akiachiwa mapema asikamatwe tena tumeuchoka mchezo huu
Wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hutoshi utaweka sana mabandiko yako ya kizandiki lakini huteuliki.
 
Kwakuwa wananchi wanaonekana sana kumkubali mheshimiwa Magufuli , ni vema wanaodili na kesi za watu ambao wako kinyume na Rais wa Tanzania wawe makini maana wana nchi wenye hasira Kali hawana mchezo na mtu anayepingana na Rais wao kipenzi

Niliwahi kushauri hata Kwa Lissu kwamba hakuna sababu ya kumuchia mapema Kwa usalama wake
Sioni sababu ya kumuachia Lissu Mapema, akiachiwa mapema asikamatwe tena tumeuchoka mchezo huu
Kuna MTU anapumua hapo kisogoni wakati unaandika? Acha kuharibu Sikh ya watu bure!
 
Safi Wakili wa Serikali aombe hili hapo kesho ili Sugu azidi kubakia rumande kulinda usalama wake.
Kigeugeu usiye na msimamo upo?Kuanzia sasa nnachana na jukwa siasa,umefuata nn tena?Nilikwambia toka mwanzo ulivyoaga kuwa ujinga unaoshabikia humu ndo maisha yako??Ungemtisha hus wako sio humu!!Shame on you!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom