Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake.
Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na manufaa kwa wananchi ambayo hayajapewa kipaumbele, na kuwa inasikitisha kuona Spika akishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
uongo mtupu sasa hivi mbeya yetu inamaendeleo kushinda kipindi chake alikuwa anacheza tu hivi mnajisifu kwa manufaa ya nani sijui wakati sugu alirudisha maendeleo ya watu nyuma sanaaa tulia mitano tena