Joseph Machali mbunge wa NCCR KASULU ang'aka Bungeni

Joseph Machali mbunge wa NCCR KASULU ang'aka Bungeni

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
685
Reaction score
148
Hali ya hewa imechafuliwa. Mbunge wa CCM asema Wabunge wa upinzani account zao zina billion 2 na ametakiwa athibitishe kauli yake lasivyo ashugulikiwe kisheria.
 
anaongea ili aonekane na yeye yupo
 
Job ndugai kamlinda huyo mwanamke "mfufukaji" kwa kumkingia kifua asithibitishe. Wanawake wa ccm wakrupkaj..hoja hamna kazi yao kuna kidole juu kwa kelele.
 
Mbona na wao wamemsema waziri mkuu na uawajaambiwa kuthibitisha? Haya ni mambo ya kulumbana bila kujua kilichowapeleka bungeni. Shame on them.
 
Kuwa bilion si tatizo swala ni kazipataje
 
Back
Top Bottom