Joseph Lusinde: Nilitoka CHADEMA sasa nipo CCM

Joseph Lusinde: Nilitoka CHADEMA sasa nipo CCM

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka CHADEMA na kujiunga na CCM.
Amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh Malecela.
 
huyuu jamaa.kumbe kaishia la 7,?? sikuwahi kuamini
 
akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka chadema na kujiunga na ccm.
amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh malecela.

Kibajaji Big up, you have a brighter future, lkn like ur stand, Man of truth. Blessings.
 
Hata namna anavyochangia bungeni anadhihirisha kuwa wa darasa la saba.
 
ila chadema walimkubali

alipokuwa chadema alikua anaonekana bonge la msomi

kuwa chagadema inahitaji roho ya paka

akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka chadema na kujiunga na ccm.
amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh malecela.

Wewe Kiazi si jana tu ulikuja na uzi kumuombea Bashaako asamehewe CHADEMA,leo umetoka ki vingine,ilimradi tu utaje CHADEMA.
Wewe hata siku uki Conceive bado utasema ni CHADEMA wame sababisha
 
Wewe Kiazi si jana tu ulikuja na uzi kumuombea Bashaako asamehewe CHADEMA,leo umetoka ki vingine,ilimradi tu utaje CHADEMA.
Wewe hata siku uki Conceive bado utasema ni CHADEMA wame sababisha
Matusi hayasaidii!
 
Back
Top Bottom