dawa ya kusaga ni kuanzisha taasisi ya kizalendo ambayo itasimama dhidi yake na hapo ni kazi kwa wasanii wenyewe
Kama kasaidia vijana wengi kufika hapo walipo mbona karibia 90% ya wasanii ni masikini na wengi wao washatoa vibao vingi na vikatamba? Au anaongelea maendeleo gani? Maana na wengine wanakimbilia kuigiza sasa
Huwa sipendi kauli za kijinga kama hizi, maana hazina tofauti na wale wanaosema JK anaangushwa na wasaidizi wake, huku mkijuwa wazi wasaidizi wa Rais wanateuliwa na Rais na ni Rais mwenyewe mwenye uwezo wa kuwatimuwa wale wanaomwangusha.Kusaga yaonekana ni mtu poa lakini hao wapambe wakina Ruge ndio wanaomharibia na kumchafua
Kusaga hajui analolisema.
Wanamuziki wengi wakongwe tumewajua kupitia Radio One kwenye vipindi kama DJ Show, Nani Zaidi, Top 10 n.k,
Hako ka-station kake kamekuja juzi tu, na kabla ya hapo alikua na Disko tu.
Wangejisifia watu kama Abdukhakim Mghomelo (KIM & THE BOYs) na YO-RAP BONANZA yake tungewaelewa.
Now you are talking. Ni wachache wanaojua ukweli huo.