Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

Akihojiwa na Ayo tv Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape hakupaswa kuwa na shaka maana walikuwa wanamlinda. Msukuma alienda mbali zaidi na kusema hata yeye alionyeshwa SMG nane lakini hakuwa na shaka maana wale ni askari.

My take: Nchi hii ina sampuli na sampuli jamani
Dhambi ya usaliti na unafiki kwa watanzania yaanza kuwatafuna CCM!
 
Msukuma amechanganyikiwa.
Bastola ni kitamburisho cha askari?
Hiyo JKT anayosema nimepita hakuna kitu kama hicho.
Bunduki ina urasimu wake kijeshi.
Kuiambia jamii bunduki ni kitamburisho cha askari ni uzushi wa kisiasa na kujikomba
Na ni mawazo potofu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimefanya kazi pale MILEMBE miaka takribani 6 ya kuwaangalia wale vichaa ila sikufanikiwa kuona kichaa mwenye akili mbovu kama za huyu Msukuma!!
 
Msukuma amechanganyikiwa.
Bastola ni kitamburisho cha askari?
Hiyo JKT anayosema nimepita hakuna kitu kama hicho.
Bunduki ina urasimu wake kijeshi.
Kuiambia jamii bunduki ni kitamburisho cha askari ni uzushi wa kisiasa na kujikomba
Na ni mawazo potofu.
Jipe nafasi kumsikiliza hapo ktk clip.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Hahahahaha! Majuzi tu hapa mh. Kasheku alikuwa shujaa wa "team Mange" leo twna yamekuwa hayo?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Weka picha.
Screen-Shot-2017-03-24-at-8.43.23-PM.png
 
Akihojiwa na Ayo tv Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape hakupaswa kuwa na shaka maana walikuwa wanamlinda. Msukuma alienda mbali zaidi na kusema hata yeye alionyeshwa SMG nane lakini hakuwa na shaka maana wale ni askari.

My take: Nchi hii ina sampuli na sampuli jamani

Kauli ya msukuma imekaa kikejeli kama we ni great thinker...Ingawaje ameizungumza kimzaha mzaha
 
Back
Top Bottom