Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,568
- 287,156
Madaraka...Huyu alikuwa Rais wa DRC kwa mgongo wa Wapambe (chawa) wa baba yake, Muda wake ukamalizika, uchaguzi ukaitishwa Mtu wake akaangushwa, aliyeshinda ni Martin Fayulu
Kabila akagoma kumtangaza, akaingia makubaliano na Mgombea mwingine aliyeshindwa anayeitwa Shishekedi ndiye akatangazwa, akaunda naye kolabo na chama chake cha Rwanda, shishekedi akastuka. Akatimua Kabila na chama chake
Stori ni ndefu bali tunataka kujua kisa cha Kabila kuwa muasi wa nchi aliyoiongoza, anataka nini?
View attachment 3690167
Deputy PM of DRC,Huyu alikuwa Rais wa DRC kwa mgongo wa Wapambe (chawa) wa baba yake, Muda wake ukamalizika, uchaguzi ukaitishwa Mtu wake akaangushwa, aliyeshinda ni Martin Fayulu
Kabila akagoma kumtangaza, akaingia makubaliano na Mgombea mwingine aliyeshindwa anayeitwa Shishekedi ndiye akatangazwa, akaunda naye kolabo na chama chake cha Rwanda, shishekedi akastuka. Akatimua Kabila na chama chake
Stori ni ndefu bali tunataka kujua kisa cha Kabila kuwa muasi wa nchi aliyoiongoza, anataka nini?
View attachment 3690167
Matamu.Madaraka...
Palm Village.....ziko ngapi huko Nairobi Kinshasa South Africa 🇿🇦??? Plus wizi woote madini na uuzaji silaha ? Anataka nini jamani huyu Kabila?Ni mjinga sana
Hana adabu
Kawa rais kwa miaka 15 lakin bado ujinga wa tamaa haujamtoka
Ngoja tuone mwisho wake