Jorginho for Ballon D`or 2021

Mbali na mafanikio ya Klabu na timu ya Taifa,yeye kafanya nini??

Alifunga?

Alitoa assist?

Alifanya nini cha maana?

Deep laying Midfield unataka afunge magoli na atoe Assists? unazifahamu kazi za uwanjani za wachezaji kwa mujibu wa position zao?
 
Kwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro 2020, Jorge Luiz Frello Filho almaarufu Jorginho ambaye huko Italia anajulikana kama "Regista"(DIRECTOR kwa kiingereza) anastahili kushinda hii tuzo na kuwa Mcheza bora wa dunia kwa mwaka huu wa 2021.

Nini maoni yako mwanabodi.

Umeanza lini kushabikia mpira? Ona hii kiti n then compare na jorginho wako👇🏼

Screenshot_20210713-092807_Instagram.jpg
 
Kwangu mimi the best challenger wa Messi kwenye Ballon D'or mwaka huu ni Rewandowiski

Ana makombe ma 4, na ana golden boot ya europe na bundesliga,

Sema timu ya taifa ilimharibia lakin nako si haba, aliingia nyavuni zaidi ya mara mbili
 
Kwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro 2020, Jorge Luiz Frello Filho almaarufu Jorginho ambaye huko Italia anajulikana kama "Regista"(DIRECTOR kwa kiingereza) anastahili kushinda hii tuzo na kuwa Mcheza bora wa dunia kwa mwaka huu wa 2021.

Nini maoni yako mwanabodi.

Messi anachukuwa. Mpende mcpende habari ndiyo iyo
 
Top 3 ballon d'Or
Kwa mujibu wa MARCA, Lionel Messi amebeba na hii ndiyo top 3

1 King
2 Lewandowski
3 Benzema

Mliokuwa mnampromote joginho wapi mtaonyesha sura zenu, hata top3 hayumo 😂 tuacheni ushabiki bwana.....Hujui omba msaada usaidiwe

final top 3
Messi
Lewandowski
Salah
 
Eti wanarusha saa ngapi hii ballooon deoo nataka kuangalia mitindo hasa suti na magauni ya wake za wachezaji. Utashangaa mchezaji unampenda anashinda anapanda jukwaani na mke wake guess whaaat mke wake ni mwanaume mwenzie. Inakata stimu
 
Back
Top Bottom