Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
Channel ya E! ,muda huu wanatangaza kuwa muimbaji Jordin Sparks na Jason Derulo wameachana rasmi.
Walikuwa kwenye uhusiano toka 2012.
Walikuwa kwenye uhusiano toka 2012.
Watchu say??? No Air.
Watchu say??? No Air.
huyo hapo
![]()
Heeeee mwanaume mwenyewe ndio picha anazopiga hizi????
Jason derulo anataka adili na ma big..booty...mambo ya wiggle wiggle..na hvi jordan kimbaumbau
huyo hapo
![]()
Dah noma sana hii,,kaonyesha kalio,,huyu mtoto mchele mchele.
huyo hapo
![]()