Jordan university College hali mbaya!!!

Mag b

Member
Jan 29, 2013
7
0
Hali ya chuo hiki maarufu kama saut Moro ni mbaya sana kwa kuwa imefikia hatua wanachuo wanashindwa kuhudhuria vipindi kwa hali mbaya ya kifedha inayopelekewa na kukosekana kwa boom chuoni hapo na ikiwa zimebaki takribani wiki mbili watu waanze UE,na chuo ni cha kikatoliki hamna mgomo!
 
Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,347
2,000
Poleni sana,hivi wanafunzi wengine wanaosoma bila boom huwa wanafanyaje kweli?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
1,500
Hali ya chuo hiki maarufu kama saut Moro ni mbaya sana kwa kuwa imefikia hatua wanachuo wanashindwa kuhudhuria vipindi kwa hali mbaya ya kifedha inayopelekewa na kukosekana kwa boom chuoni hapo na ikiwa zimebaki takribani wiki mbili watu waanze UE,na chuo ni cha kikatoliki hamna mgomo!

Ukatoliki na mgomo wa kudai haki havina uhusiano. Jipangeni barabarani kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa muone kama boom halitawasili within no time!
 
mr. over view

Member
Jan 3, 2014
14
0
vice principle Fr. MUHOZA ni kauzu zaid ya dagaa wanafunzi walipotaka kuandaman akasema ataenda mwenyew bodi, ameenda bodi wakamwambia serikali haina hela aliporudi akasema msubiri serikali itimize wajibu wake. Kama kuna anaetaka kuandamana aandamane halafu wakutane. Mbaya zaid amewaambia hayo maneno wanafunz wa mwaka wa 3 ambao wanahesabu wiki 2 wamalize.... Nani atagoma?
 
mumak

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
955
500
vice principle Fr. MUHOZA ni kauzu zaid ya dagaa wanafunzi walipotaka kuandaman akasema ataenda mwenyew bodi, ameenda bodi wakamwambia serikali haina hela aliporudi akasema msubiri serikali itimize wajibu wake. Kama kuna anaetaka kuandamana aandamane halafu wakutane. Mbaya zaid amewaambia hayo maneno wanafunz wa mwaka wa 3 ambao wanahesabu wiki 2 wamalize.... Nani atagoma?

mbona nimesikia mmeshasign tanagu alhamis?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom