MsibaHabari za Januari wakuu
Kwa wapenzi wa riwaya za kiswahili nafikiri mtakuwa mmeshawa fahamu wahusika hapo juu mmoja anatumika na mwandishi Mtobwa B.R na Mwingine Musiba A.E., Karibuni tuambiane yupi kati ya hao anakukosha sana hasa katika harakati zao za upelelezi
Gamba ni moto sana mzee kikomoHabari za Januari wakuu
Kwa wapenzi wa riwaya za kiswahili nafikiri mtakuwa mmeshawa fahamu wahusika hapo juu mmoja anatumika na mwandishi Mtobwa B.R na Mwingine Musiba A.E., Karibuni tuambiane yupi kati ya hao anakukosha sana hasa katika harakati zao za upelelezi
Willy Gamba sio author ni character, author ni Elvis Musiba aka mjita. Huyu jamaa Nyerere alipiga mkwara riwaya zake kuwa zinafundisha ujambaziAliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Hao wanaodai hivyo itapendeza wakitaja japo kitabu kimoja tu cha Musiba na kueleza alikopi kutoka kitabu kipi cha James Hadley Chase.Aliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Ni members wanajidai much knowHao wanaodai hivyo itapendeza wakitaja japo kitabu kimoja tu cha Musiba na kueleza alikopi kutoka kitabu kipi cha James Hadley Chase.
Ni chuki zao tuHao wanaodai hivyo itapendeza wakitaja japo kitabu kimoja tu cha Musiba na kueleza alikopi kutoka kitabu kipi cha James Hadley Chase.
Nafikiri wanalinganisha maudhui ya kiupelelezi ndo mana wanasema hivyo ila kiuhalisia sioni kufanana kwa kazi zao labda waseme ni riwaya gani wamecopy kutokea huko tulinganisheAliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Nisaidie mkuu huyu jamaa ni mwandishi wa nini?Akina nyambari