Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,506
- 103,164
Kwa kila mtu makini anafahamu fika uchochezi uliosambazwa jana ulikanushwa mapema na msemaji rasmi wa CHADEMA ndugu Tumaini Makene na ndio maana hata gazeti la CCM Uhuru habari ile wameipotezea kwenye headline zao.
Lakini unprofessional na kwa chuki zilizowajaa hawa waandishi na wahariri wa Raia Tanzania wakaona hapa ndio pa kufanyia siasa zao za Mtaroni, cha kujiuliza je hili limetokea kwa bahati mbaya?
Sasa ni wakati wa kitengo cha sheria cha CHADEMA kutimiza wajibu wake na kulifikisha gazeti hili kwenye vyombo husika kweni hii ndio tabia ya gazeti hili tangu nilifahamu.
Kulalamika tu mitandaoni bila wahusika kuchukuwa hatuwa ni upuuzi, sasa watu wawe serious hata wale vijana wa CCM waanze kuwa na adabu waache siasa nyepesi.
Ona hapa chini habari hiyohiyo Jambo leo walivyoiripoti in Professional journalism.