Jopo la wanasheria wa CHADEMA lishtakini gazeti la Raia Tanzania!

Aliyeongelewa ni Mnyika

Aliyekanusha ni Makeni

Anayetaka kufungua kesi ni Jopo la majaji wa chadema.

Ukiunganisha Dot utaelewa ni kweli Mnyika hamtaki lowassa
Uko sahihi mkuu.
Kama anayetuhumiwa ni Mnyika, anayetakiwa kukanusha ni mnyika
Kama tuhuma zimetolewa kupitia social networks, kanusho halipaswi kutolewa kupitia social networks tena, physical appearance ya mtuhumiwa akikanusha ndiyo njia pekee ya kuondoa utata
 
Mi nilijua kabisa kuwa ujumbe ule ulikuwa umetungwa,lkn nilikuwa ninahamu sana kumuona mnyika akijitokeza hadharan na kuukana coz yy ndie alikiwaga kimbelembele kumponda lowasa lkn leo hii kukanusha kuwa lowasa asipelekwe mahakaman inanifanya niamin kuwa polojo zote zinazotolewa na wanaoitwa makamanda wa chadema ni NJAA tu zinawasumbua lkn hakuna mzalendo wa kweli anayeweza kusimamia maneno yake mpaka mwisho kwa maslahi ya wanyonge.CHADEMA WOTE NI NJAA TUU
 
Hata Mnyika asiposema lowasa inabidi akamatwe mwaka 2007alitajwa na chadema kwenye orodha ya aibu(list of shame) kwamba na yeye ni fisadi,mwizi,aliyeliibia taifa.

Lowasa ni mwizi akamatwe haraka na fedha alizoiba zirudishwe kama ambavyo Buhari anavyojitahidi kurudisha fedha za umma zilizoibwa na JPM naye ahakikishe fedha zilizoibwa na akina Lowasa zinarudi.

Chukia ufisadi,wizi,ubadhirifu hata kama upo Chadema.
Nikweli kabisa.
 
Hayo ndiyo magazeti yetu.Alisema juzi paschael mayalla kwenye kipindi cha uchambuzi wa magazeti Star TV.kuwa kama Leo hii gazetiA lingeandika udaku zaidi.Na Gazeti B likaandika makala ya uchumi.Basi gazeti A litanunuliwa nakala nyingi kuliko B.hivyo nao waandishi wanapenda saana kuandikia Gazeti A.Bila kuangalia athari za baadaye na kwasababu watakuwa wameuza hawata ona athari kesho yake kukanusha. Tungeomba mamlaka chukueni Hatua Kali.lakini tumeona pale waziri husika Nape alipoyafungia magazeti ya namna hiyo watu na baadhi tena ya magazeti hayohayo haya kumuunga mkono.wakasema kaingilia Uhuru wa vyombo hivyo .Hivyo watanzania na magazeti yetu tuna penda udaku sana natume yafanya magazeti kuandika tunavyo penda zaidi.Nakwasababu ya ufinyu wa weredi kwa waandishi wetu naowamejikuta wameingia ktk dimbwi la wapotoshaji wakisahau maadili yao ktk uandishi.Mimi nadiliki kusema hao ni Waandishi Uchwara .Fani imeingiliwa kibiashara na wasio professional .
 
Mi nilijua kabisa kuwa ujumbe ule ulikuwa umetungwa,lkn nilikuwa ninahamu sana kumuona mnyika akijitokeza hadharan na kuukana coz yy ndie alikiwaga kimbelembele kumponda lowasa lkn leo hii kukanusha kuwa lowasa asipelekwe mahakaman inanifanya niamin kuwa polojo zote zinazotolewa na wanaoitwa makamanda wa chadema ni NJAA tu zinawasumbua lkn hakuna mzalendo wa kweli anayeweza kusimamia maneno yake mpaka mwisho kwa maslahi ya wanyonge.CHADEMA WOTE NI NJAA TUU
Mnyika na yaliyokuwa mavuvuzela kuhusu UFISADI wa Lowassa, wakiwemo Kubenea, Peter Msigwa na Lema wote wanajua Lowassa ni fisadi, ila kama ulivyosema wanajua wangeendelea na msimamo wao wakati tayari FISADI lilishatia timu kwa kutoka dinari za kutosha kwa Mwenyekiti wao, wangekufa njaa kwa kupoteza ubunge
 
Hivi mnakumbuka ni MAKENE huyu huyu amekuwa akiwasemea AU KUWASAIDIA kukana BAADHI YA VIONGOZI ndani ya CHADEMA JUU YA FUNUNU ambazo Tumekuwa tukizipata huku NJE...mfano TU ni ishu ya Dr SLAA...Ishu YA LOWASSA kukaribishwa ndani ya CHADEMA....afu mwisho wa siku HIZO FUNUNU tulizosikia zinakuja kuwa kweli.....HAPA WASITAKE KUJIFARIJI KUWA MNYIKA HAKUBALIANI NA JINSI CHADEMA YA SASA ILIVYO HUYU JAMAA NI MIONGONI MWA VIZAZI NA VIJANA BORA SANA NDANI YA CHADEMA....hata kama akitoka kukanusha yeye MWENYEWE pia atuambie KWANINI amekuwa KIMYA SANA???Na mbona hatujawai sikia TAMKO LAKE LOLOTE JUU YA UJIO WA WANA CCM NDANI YA CHADEMA na ambao yeye mwenyewe alikua kinara kusema ana ushaidi usio na mashaka juu ya UFISADI WAO???...HIVYO SIKU AKITOKA KUKANA HILI ATUJIBU NA HAYA....
 
Hata Mnyika asiposema lowasa inabidi akamatwe mwaka 2007alitajwa na chadema kwenye orodha ya aibu(list of shame) kwamba na yeye ni fisadi,mwizi,aliyeliibia taifa.

Lowasa ni mwizi akamatwe haraka na fedha alizoiba zirudishwe kama ambavyo Buhari anavyojitahidi kurudisha fedha za umma zilizoibwa na JPM naye ahakikishe fedha zilizoibwa na akina Lowasa zinarudi.

Chukia ufisadi,wizi,ubadhirifu hata kama upo Chadema.
FB_IMG_1466061013528.jpg
FB_IMG_1466065551719.jpg
FB_IMG_1464840124572.jpg
 
Aliyeongelewa ni Mnyika

Aliyekanusha ni Makeni

Anayetaka kufungua kesi ni Jopo la majaji wa chadema.

Ukiunganisha Dot utaelewa ni kweli Mnyika hamtaki lowassa

Tuhuma nzito kama hizi kwa mtu binafsi hazikanushwi na msemaji wa chama na wala hazikanushwi kupitia mitandao ya kijamii bali kwa kuitisha press na wana habari.
Ajitokeze Mnyika mwenyewe akanushe kwa kuitisha mkutano na wanahabari, mitandao ya kijamii, TV, redio na magazeti yachukue kwa Mnyika.
Kwahiyo Ole Sendeka kuanzia leo tusimsikie akikanusha tuhuma kwa niaba ya CCM?

Jerry Muro pia asiongee yanayowahusu Yanga.
 
Mbona kichaa mnamtibu kwa siri?
Inatia shaka sana na inafikirisha sana,sikubaliani na unalolisema lakin ukiiangalia hii kwa akili nzuri unaweza kuona kuwa waliotoa tamko la Mnyika wanajua Mnyika hawezi kujitokeza kukanusha na wanaotoa matamko ya kukanusha wanafanya hivyo kwa sababu wanajua Mnyika hawezi kujitokeza,sasa swali kubwa linabaki MNYIKA ANA NIN MPAKA ASIWEZE KUJITOKEZA?kama ni ugonjwa basi Mungu amsaidie,sote tu wadhaifu.
 
Hivi mnakumbuka ni MAKENE huyu huyu amekuwa akiwasemea AU KUWASAIDIA kukana BAADHI YA VIONGOZI ndani ya CHADEMA JUU YA FUNUNU ambazo Tumekuwa tukizipata huku NJE...mfano TU ni ishu ya Dr SLAA...Ishu YA LOWASSA kukaribishwa ndani ya CHADEMA....afu mwisho wa siku HIZO FUNUNU tulizosikia zinakuja kuwa kweli.....HAPA WASITAKE KUJIFARIJI KUWA MNYIKA HAKUBALIANI NA JINSI CHADEMA YA SASA ILIVYO HUYU JAMAA NI MIONGONI MWA VIZAZI NA VIJANA BORA SANA NDANI YA CHADEMA....hata kama akitoka kukanusha yeye MWENYEWE pia atuambie KWANINI amekuwa KIMYA SANA???Na mbona hatujawai sikia TAMKO LAKE LOLOTE JUU YA UJIO WA WANA CCM NDANI YA CHADEMA na ambao yeye mwenyewe alikua kinara kusema ana ushaidi usio na mashaka juu ya UFISADI WAO???...HIVYO SIKU AKITOKA KUKANA HILI ATUJIBU NA HAYA....
Mkuu ndiyo maana nasema, tuhuma nzito kama hizi hazikanushwi kwenye mitandao ya kijamii(social networks) na mbaya zaidi, anayekanusha ni Makene ambaye wakati wa Sakata Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye hatasahaulika kwa utendaji wake , Dr. Slaa kuwa hakua ameondoka Chadema bali alikuwa Likizo. Makene Tumaini???? Wambadilishie cheo na kumuita Mwana Propaganda wa Chadema Mitandaoni siyo Msemaji wa Chadema.
 
Kwahiyo Ole Sendeka kuanzia leo tusimsikie akikanusha tuhuma kwa niaba ya ccm?

Jerry Muro pia asiongee yanayowahusu Yanga. Hivi shuleni mlikwenda kujaza fungus kichwani.
Sendeka na Muro wanaongelea wapi? Tumaini Makenue anaongelea wapi? Unakumbuka Tumaini alitudanganya sisi tuliompenda Katibu Wetu Mkuu wa Chadema, Dr. Slaa kuwa bado tulikuwa naye Chadema na kwamba hakukua na mgogoro bali alikuwa likizo? Ole Sendeka kaongopa lini, lini kakanusha kupitia social networks? Haya Mavuvuzela ya Chadema mitandaoni ndiyo wa kujulishwa? Walioko nkasi, Rory vijijini, Ugweno kule upareni, Mamaisara kule Mbulu watajuaje kama hayo siyo maneno ya Mnyika?
 
cf91a4ee0506df0338e0d97e5bc3bfb5.jpg

Kwa kila mtu makini anafahamu fika uchochezi uliosambazwa jana ulikanushwa mapema na msemaji rasmi wa CHADEMA ndugu Tumaini Makene na ndio maana hata gazeti la CCM Uhuru habari ile wameipotezea kwenye headline zao.

Lakini unprofessional na kwa chuki zilizowajaa hawa waandishi na wahariri wa Raia Tanzania wakaona hapa ndio pa kufanyia siasa zao za Mtaroni, cha kujiuliza je hili limetokea kwa bahati mbaya?

Sasa ni wakati wa kitengo cha sheria cha CHADEMA kutimiza wajibu wake na kulifikisha gazeti hili kwenye vyombo husika kweni hii ndio tabia ya gazeti hili tangu nilifahamu.

Kulalamika tu mitandaoni bila wahusika kuchukuwa hatuwa ni upuuzi, sasa watu wawe serious hata wale vijana wa CCM waanze kuwa na adabu waache siasa nyepesi.

Ona hapa chini habari hiyohiyo Jambo leo walivyoiripoti in Professional journalism.

Kipindi kile Slaa yuko kimya mwenyekiti wa Chama (Mbowe) alidanganya kwamba yuko kwenye mapumziko, sasa kwa nini tuamini matamko ya CDM tena? Mnyika mwenyewe yuko wapi mpaka mumsemee? Najua mnafanya jitihada kubwa kum-convince, lakini kwa mtu yeyote mwenye upeo aliokuwa anonyesha Mnyika, huwa anajua kabisa madhara ya kugeuka kauli zake za mwanzo na madhara ya kushabikia kitu asichokiamini.
 
Viongozi chadema wabuni miradi ya kuwainua vijana badala ya kuhangaika mahakamani na wanahabari uchwara. Habari kama hiyo aje mnyika aseme Ni kweli AMA porojo basi tuendelee na kazi zamaana.
 
Inatia shaka sana na inafikirisha sana,sikubaliani na unalolisema lakin ukiiangalia hii kwa akili nzuri unaweza kuona kuwa waliotoa tamko la Mnyika wanajua Mnyika hawezi kujitokeza kukanusha na wanaotoa matamko ya kukanusha wanafanya hivyo kwa sababu wanajua Mnyika hawezi kujitokeza,sasa swali kubwa linabaki MNYIKA ANA NIN MPAKA ASIWEZE KUJITOKEZA?kama ni ugonjwa basi Mungu amsaidie,sote tu wadhaifu.
Mnyika anaogopa kula matapishi yake.
 
Kwahiyo Ole Sendeka kuanzia leo tusimsikie akikanusha tuhuma kwa niaba ya ccm?

Jerry Muro pia asiongee yanayowahusu Yanga. Hivi shuleni mlikwenda kujaza fungus kichwani.
Ni sawa kabisa kwa Ole Sendeka kuijibi CCM au Jerry Muro kuijibia Yanga au Makene kuijibia CHADEMA lakin linapokuja suala binafsi la Nape kwa mfano itakuwa kichekesho akilijibia Ole Sendeka sawa kabisa na jambo binafsi la Mnyika kujibiwa na Makene au Msemaji yoyote wa Chadema.

Hili suala ni la Mnyika na ni Mnyika anaweza kulijibia likaeleweka au ata kuwashtaki, sasa kwenye mashtaka ya Mnyika chama kinaweza kumsaidia mawakili.
 
Tatizo tumezidi kuwa wapole tukisubiri Jamuhuri ichukue hatua.CHADEMA chukueni hatu wenyewe na wala msisubiri Jamuhuri maana hata kutukanwa mnatukanwa tu na hakuna anaeshitakiwa.
Kumbuka Mnyika hajakanusha ,

Waliokanusha ni ufipa boys waliojifanya ni wasemaji wa Mnyika.
 
Nawashauri vijana tuwe tunaacha siasa uchwara, siasa za kufata kaulibya mwenyekiti kiasi kwamba mwenyekiti akuamua hakuna wa kupinga wala kukosoa, yalisemwa baadhi ya ukweli kabisa na yalihubiliwa na chadema wenyewe juu ya Lowasa, mimi ni mwanachadema lakini naungana na Mnyika kupinga ujio wa Lowasa Chadema kwani si mahala pake, na wakati utasema. Naichukia sana ccm lakini kadri upinzani unavyo kua na kuimarika haujitofautishi sana na Ccm
Si peke yako...wengi tuko kwenye dilemma...hakuna tofauti kati ya CCM na CDM kwa sasa
 
Tuhuma nzito kama hizi kwa mtu binafsi hazikanushwi na msemaji wa chama na wala hazikanushwi kupitia mitandao ya kijamii bali kwa kuitisha press na wana habari.
Ajitokeze Mnyika mwenyewe akanushe kwa kuitisha mkutano na wanahabari, mitandao ya kijamii, TV, redio na magazeti yachukue kwa Mnyika.
Alichokifanya JOHN MNYIKA ni kuufikisha ujumbe kwa njia mbadala na baada ya kuuona umefika akakaa kimya. cha Ajabu Tumaini Makene anakuja kukanusha yeye! sasa hapa ndipo nashangaa
 
Back
Top Bottom