Jopo la wanasheria wa CHADEMA lishtakini gazeti la Raia Tanzania!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,309
92,425
cf91a4ee0506df0338e0d97e5bc3bfb5.jpg

Kwa kila mtu makini anafahamu fika uchochezi uliosambazwa jana ulikanushwa mapema na msemaji rasmi wa CHADEMA ndugu Tumaini Makene na ndio maana hata gazeti la CCM Uhuru habari ile wameipotezea kwenye headline zao.

Lakini unprofessional na kwa chuki zilizowajaa hawa waandishi na wahariri wa Raia Tanzania wakaona hapa ndio pa kufanyia siasa zao za Mtaroni, cha kujiuliza je hili limetokea kwa bahati mbaya?

Sasa ni wakati wa kitengo cha sheria cha CHADEMA kutimiza wajibu wake na kulifikisha gazeti hili kwenye vyombo husika kweni hii ndio tabia ya gazeti hili tangu nilifahamu.

Kulalamika tu mitandaoni bila wahusika kuchukuwa hatuwa ni upuuzi, sasa watu wawe serious hata wale vijana wa CCM waanze kuwa na adabu waache siasa nyepesi.

Ona hapa chini habari hiyohiyo Jambo leo walivyoiripoti in Professional journalism.

1467605683211.jpg
 
cf91a4ee0506df0338e0d97e5bc3bfb5.jpg

Kwa kila mtu makini anafahamu fika uchochezi uliosambazwa jana ulikanushwa mapema na msemaji rasmi wa Chadema ndugu Makene na ndio maana hata gazeti la ccm Uhuru habali ile wameipotezea kwenye headline zao.

Lakini unprofessional na kwa chuki zilizowajaa hawa waandishi na wahariri wa Raia Tanzania wakaona hapa ndio pa kufanyia siasa zao za Mtaroni, cha kujiuliza je hili limetokea kwa bahati mbaya?

Sasa ni wakati wa kitengo cha sheria cha Chadema kutimiza wajibu wake na kulifikisha gazeti hili kwenye vyombo husika kweni hii ndio tabia ya gazeti hili tangu nilifahamu.

Kulalamika tu mitandaoni bila wahusika kuchukuwa hatuwa ni upuuzi, sasa watu wawe serious hata wale vijana wa ccm waanze kuwa na adabu waache siasa nyepesi.

Ona hapa chini habari hiyohiyo Jambo leo walivyoiripoti in Professional journalism.

View attachment 362685

Nawashauri vijana tuwe tunaacha siasa uchwara, siasa za kufata kaulibya mwenyekiti kiasi kwamba mwenyekiti akuamua hakuna wa kupinga wala kukosoa, yalisemwa baadhi ya ukweli kabisa na yalihubiliwa na chadema wenyewe juu ya Lowasa, mimi ni mwanachadema lakini naungana na Mnyika kupinga ujio wa Lowasa Chadema kwani si mahala pake, na wakati utasema. Naichukia sana ccm lakini kadri upinzani unavyo kua na kuimarika haujitofautishi sana na Ccm
 
Hata Mnyika asiposema lowasa inabidi akamatwe mwaka 2007alitajwa na chadema kwenye orodha ya aibu(list of shame) kwamba na yeye ni fisadi,mwizi,aliyeliibia taifa.

Lowasa ni mwizi akamatwe haraka na fedha alizoiba zirudishwe kama ambavyo Buhari anavyojitahidi kurudisha fedha za umma zilizoibwa na JPM naye ahakikishe fedha zilizoibwa na akina Lowasa zinarudi.

Chukia ufisadi,wizi,ubadhirifu hata kama upo Chadema.
 
Aliyeongelewa ni Mnyika

Aliyekanusha ni Makeni

Anayetaka kufungua kesi ni Jopo la majaji wa chadema.

Ukiunganisha Dot utaelewa ni kweli Mnyika hamtaki lowassa
Mnyika amekanusha kupitia mtandao wake wa twitter
 
Tuhuma nzito kama hizi kwa mtu binafsi hazikanushwi na msemaji wa chama na wala hazikanushwi kupitia mitandao ya kijamii bali kwa kuitisha press na wana habari.
Ajitokeze Mnyika mwenyewe akanushe kwa kuitisha mkutano na wanahabari, mitandao ya kijamii, TV, redio na magazeti yachukue kwa Mnyika.
 
Mnyika amekanusha kupitia mtandao wake wa twitter
Tuwekee, hata hivyo haitoshi, aitishe mkutano na wanahabari, sababu hata tuhuma hizo zimeandikwa kwenye social networks, tuamini lipi msimamo wake kumhusu Lowassa au hilo kanusho lake?
 
Back
Top Bottom