Jonas Savimbi of UNITA

Pengine alichokuwa anapigania kilikuwa na tija lakini pia aliua wananchi wasiokuwa na hatia indiscriminately. Mpaka leo Angola ni mojawapo ya nchi hatari sana kutokana na uwepo wa mabomu mengi ya kutegwa ardhini ambayo hayajaripuka.
d2abcdeef4260c8fc518e530008306bc.jpg
Mandela, Annan na akina Gaddafi walijaribu sana kusuluhisha mgogoro huu mpaka akapewa u-vice president lakini yeye alitaka kuwa rais kwa gharama yo yote ile. Ha got what he deserved na alitumiwa sana na Wamarekani na kama kawaida yao alipomaliza thamani yake wakamtupa kama mbwa!
532a48b0ddd36f15bfd9ee0eea9fd014.jpg

Kasome pia "Halloween Massacre" coz waswahili mnasoma mambo juu juu
 
Wewe usiye Mswahili na uliyesoma hiyo Halloween Massacre si ushushe nondo tu hapa kuhusu unachokijua? Mimi nimetoa general perspectives kuhusu tabia ya kusikitisha ya viongozi hawa wa Afrika kutumiwa na majibwa ya Kimagharibi halafu mwishowe wanaishia kutupwa kama kondomu iliyotumika. Wewe badala ya kuendeleza/kupinga hoja hiyo unaleta ubishoo na dharau zako dhidi ya Waswahili kisa umesoma Halloween Massacre. Sad!
 
Na ndio shida ya kusoma vitu one side bila kujua hyo one side ilikua caused na nin na je other side kuna nin af badae ujipime wewe kama una akili(Great thinker) kua hii imekaaje sio unatoa conclusion tu unaowaita majibwa ndo wamekulisha kuanzia bibi yako mpaka hapa na bado unatumia device zao kuandika mavi hayo .nakupa tena Homework kasome Halloween massacre ambayo n part ya Angola Civil war.ndio utajua MPLA ni aina gan ya watu na UNITA ni aina gani tena ingia google tu labda kama ile lugha ya bi malkia n shida.ahahaa eti dharau dont panic my brother ukweli unauma
 
Ukweli unauma. Ukweli gani? Na kwa nini uume? Don't panic, nipanic nini? Kusema kweli nilishaacha tabia ya kujibizana/kutukanana na watu nisiowajua mtandaoni hasa wanawake (assuming that you are a woman). Ukiwa tayari kufanya mjadala wa hoja nitonye. Otherwise, Mungu Akubariki sana. Jestkilla!
 
Mjadala huu hautawapa faida yoyote wananchi wa Angola pia hauna faida kwa sasa.... historia hua haifutik kaisome kule.ANGOLA INASONGA MBELE WASHASAHAU YALIOPITA WANAJENGA NCHI YAO FULL STOP USIMAIND MEEEN
 
Asante Jestkilla. Na siku yo yote ukihitaji mjadala nami nipo tayari ali mradi tu tusianze kutukanana kama watoto wadogo. Homework yako nitaifanya na nitakitafuta hicho kitabu na kujisomea. Pengine kitabadilisha mtazamo wangu na ku-justify alichokuwa anakipigania Savimbi, na hasa baadhi ya mbinu zake alizotumia. Ninachojua ni kwamba, mbali na kuwepo kwa mkono wa mabeberu, mara nyingi kunakuwa na sababu za ndani zinazokuwa chanzo cha migogoro hii: Watu fulani (kabila, dini, kanda...) kuonewa sana na kutengwa. Mwishowe wanachoka na kusema liwalo na liwe. Ndiyo maana tunaambiwa kwamba gaidi wako anaweza kuwa shujaa wangu (and vice versa). Ubarikiwe!
 
Pamoja sana ..!!! we ingia google andika "Angola Civil War" utaona effect ya Proxy War ya wajamaa wakomunist na mabepari walivoitafua angola.siku njema
 
Nchema hawezi kufanana na Savimbi, labda rangi ya ngozi tu. Savimbi pamoja na kuwa katili lakini he stood for what he believed. Kama jamaa alikataa hata kuwa makamu wa rais, unawezaje kumfananisha na mtu ambaye anaogopa hata kupoteza uwaziri kwa kuongea vitu visivyokuwa na ukweli? Eti kila anayekamatwa na polisi ana makosa, Sijui wale jamaa kule Ruvuma walikuwa na makosa gani? au wale waliopewa the so called "Lift" kule arusha sijui walikuwa wana makosa gani.
Yote hayo kutetea uwaziri wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom