mzee mmoja aliekuwa pande la baba miraba minne alikua akitaniana na mjukuu wake mambo yakawa hivi: mjukuu: eti babu uliniambia nianze kuesabbuu,; mmoja niongeze neno kablaya mmoja ambalo ni mtu na mbele ya neno moja kuwe na neno wewe unapata sentesi MTU MMOJA WEWE NA je nikianza kuesabu kuanzia mbili litakua MTUMBILI WEWE ni kweli? duu babu hakujibu ila bibi alikua anacheka mbaya,tena mjukuu akamwambia babu yake nikisema moja nepa shauri ya mavi,wewe jibu,mbili nepa, shauri ya mavi ,tatu nepa........... kabla hawajafika hata tisa nikamuona babu anakifukuza kijukuu na kudai hakina adabu hata kidogoo