Jokes kuhusiana na iman za dini zetu

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
datz is what i like abt muslim hawapendi utan kabisa na dini yao na ukitania wanakua wakali kwel kwel...ila hawa washamba wanaotania dini ya kikristo huwa wananikera sana na nashangaa kwann wakristo huwa hatumind kama wenzetu...me nadhan iman sio kitu cha kufanyia mchezo inabidi tuanze kuwaiga ndugu zetu...kukemea mtu yeyote anayepost jokes kuhusiana na iman za kidini
 
Utani una maana yake. Utani ni kuwa kinachosemwa sio cha kweli (if I am not mistaken by thinking) ndio maana people never mind. Elewa utani, sio ukweli. Mbona wanamuziki sometimes wanavaa majoho ya maaskofu, filamu ya sister act ilipendwa sana etc.
 
huo sio upole facebook...kufanyiwa jambo ambalo si jema na kukaa kimya bila kuhoji,kujali wala kukemea hiyo sio maana ya upole...we need to change and demand respect for our faith
 
Muhubiri, anasema, kila jambo, na wakati wake
Wakati wa kucheka
Wakati wa kuvuna,
Wakati wa Kulia
etc etc etc
 
Utani una maana yake. Utani ni kuwa kinachosemwa sio cha kweli (if I am not mistaken by thinking) ndio maana people never mind. Elewa utani, sio ukweli. Mbona wanamuziki sometimes wanavaa majoho ya maaskofu, filamu ya sister act ilipendwa sana etc.

so u tel me why unadhan ni nadra sana kukuta watu wanafanya utan na dini ya kiislam
 
datz is what i like abt muslim hawapendi utan kabisa na dini yao na ukitania wanakua wakali kwel kwel...ila hawa washamba wanaotania dini ya kikristo huwa wananikera sana na nashangaa kwann wakristo huwa hatumind kama wenzetu...me nadhan iman sio kitu cha kufanyia mchezo inabidi tuanze kuwaiga ndugu zetu...kukemea mtu yeyote anayepost jokes kuhusiana na iman za kidini

Acha kuwasifu. Hawa hawaoni kama dini za wenzao ni dini. Ndio maana wanawaita wasio waislamu "Kafir", a derogatory term to accept!!!
 
Sio sawa mkuu. Kuna watu walikufa kwa kulinda heshima ya imani yako. Kukataa mizaha ya kijinga ni tribute kwa hao mashujaa
Kwanini ushindane na wasio na elimu na waliokosa maarifa? Kumbuka hawa wenzetu kwasababu ya inferiority complex yao ndio inawafanya watumie mabavu. Kwetu sisi busara zinatosha
 
Acha kuwasifu. Hawa hawaoni kama dini za wenzao ni dini. Ndio maana wanawaita wasio waislamu "Kafir", a derogatory term to accept!!!

me nawasifu kwa jinsi wanavyosimamia respect ya dini yao...kuhakikishwa kwamba hakuna anayeibeza au kufanyia masihara...hayo mengine ya kafir nk ni out of this topic
 
Kwanini ushindane na wasio na elimu na waliokosa maarifa? Kumbuka hawa wenzetu kwasababu ya inferiority complex yao ndio inawafanya watumie mabavu. Kwetu sisi busara zinatosha

nani hana elimu? Waislam? Or? Naona unaanza kuongea pumba mkuu
 
huo sio upole facebook...kufanyiwa jambo ambalo si jema na kukaa kimya bila kuhoji,kujali wala kukemea hiyo sio maana ya upole...we need to change and demand respect for our faith
Imani yetu hairuhusu fujo, chuki na mauaji. Yao inaruhusu. Huoni tutakuwa tunaenda nje ya misingi ya imani yetu?
 
so u tel me why unadhan ni nadra sana kukuta watu wanafanya utan na dini ya kiislam

Hawa watu ni washari kwa mambo madogo na uelewa mdogo. Hasa hawa wanaotoka madrasa,semi illiterates, never with learned Muslims. Huu ni utani tu
 
Jamani hivi nyie hamchoki na maswala ya dini kila kikicha hapa jamvini? Kila siku mara Bakwata mara Maaskofu nk. what for?
Na kwenye thread hii msipoangalia' kuna hatari ya baadhi ya watu kula bann.....kazi kwenu
 
Baali alilindwa kwa upanga ila mungu alie hai aliwasamehe hata waliomkosea kwa kuua watumishi wake(sauli aka paulo)
mungu wa kweli na ajitetee mwenyewe na dini yake halikadhalka.
Kwa udhaifu wa binadamu na madhambi yake kama atatokea mungu na dini yake na akataka kutetewana sisi huyo atakuwa wa kuchongwa.
 
Back
Top Bottom