Jokes kuhusiana na iman za dini zetu

Mbona wakatoliki wanawaita madhehebu mengine hivyo hivyo yaani makafir,ila tu wanatumia neno la kizungu protestant,au hujui protestant ni kizungu kiarabu kafir na kiswahili ni mpingaji

historia inasema wali-protest against maongozi ya Pope. Wakataka kuoa kinyume na mwongozo wa Rome
 
Sikubaliani na dhana ya kuleta Utani/Jokes kwenye suala linalohusu Imani ima Ukiristo, Uislamu, Uhindu, Ubudha...nk!!...
Yako mambo mengi ya kufanyia Utani lakini tusifike kwenye dini jamani..
Watu kunyamaza kimya sio kwamba hawakerwi na hao Ze comedy ila sema..wakiristo wamegawanyika mno..kiasi kwamba wao kwa wao hawakubaliani..si rahisi sana msabato kumsapoti mkatoliki au mkatoliki kumsapoti mlokole..na wengine halikadhalika!!
Tuache utani kabisa kwenye mambo ya Imani..hautufai!!!
 
Mnapiga kelele tu hapa na kupoteza muda mwisho wa siku wote mna hizo dini za wakoloni na wauza watumwa bila hata kuhoji kwa sababu tu mliambiwa na wazazi wenu ni dini nzuri u guyz neva bother to think mnaswagwa tu.. Tunachukiana for the sake of beliefs?? Cmon!! Mwisho wa siku u only live once achaneni ndoto za maisha ya baadae na dini ipi bora..
 
religion is like a fart, mine is good and everyones else stinks,
 
Nimeelewa na hii nayo Imekaaje kwenye hii Mada??
attachment.php
 
Ukiona mtu kila siku analalamika ujue kaishiwa maarifa. Wanaolalamika kila siku ni akina nani? Wangekuwa na elimu ya kutisha wasingefanya wanayoyafanya.

Kumbe Watz tumeishiwa maarifa pa1 na ongezeko la vyuo vikuu kama utitiri!! Maana kila cku hatuishi kulalamika.. c viongozi wala raia wote tumekua watu wa kulalamika 2
 
datz is what i like abt muslim hawapendi utan kabisa na dini yao na ukitania wanakua wakali kwel kwel...ila hawa washamba wanaotania dini ya kikristo huwa wananikera sana na nashangaa kwann wakristo huwa hatumind kama wenzetu...me nadhan iman sio kitu cha kufanyia mchezo inabidi tuanze kuwaiga ndugu zetu...kukemea mtu yeyote anayepost jokes kuhusiana na iman za kidini
Huu ndio utani wenyewe usiokubalika. Unaowaita 'washamba' maana yake unawatania au vipi?
 
Back
Top Bottom