Joker Film: Kudharauliwa na kuambiwa maneno mabaya kunavyoweza kumfanya mtu awe muuaji

Huyu Joker kwenye movie hii ya sasa alipata matatizo ya kucheka bila kujocontrol kutokana na kipigo alichokuwa anapata kwa baba yake wa kambo na mama yake alitazama kwasababu hakuwa na sauti.

Ila jamaa alikuwa a very humble guy na nice kwa watu sema watu hawakumuelewa kwakuwa alikuwa anabehave kama mtu asiye na akili sawa.

The same story ipo kwenye movie inayohusu Muuwaji katili anaitwa Jeffery Dahmer. Movie inaitwa MY FRIEND DAHMER. Ambayo ilipotray maisha ya Jeffrey Dahmer kipindi akiwa mtoto hadi alipoua mtu wake wa kwanza.....

Kwakifupi nilichogundua hawa watu wanakuwa wanapitia depression kali sana na jamii inayowazunguka haiwi karibu nao ina watreat kama strangers na hapo ndipo huwa wanatafuta jambo la kufanya ambalo litarudisha attention kwao kutoka kwa jamii.

So sometimes its better kuwaandaa watoto wajue namna jamii ya kisasa itawapokea ili wasipate msongo. Hili naliona sana kwa wahitimu wa vyuo....

Mtu kamaliza chuo, ajira hamna so ndoto zake zote zinamuacha, mwanamke wake anamkwepa hataki kufanya nae maisha sababu hana uelekeo, familia wanamtazama tu na hawana cha kumshauri zaidi ya kumtazama kama mzembe, serikali hakuna time, jamii inayomzunguka inampuuza, marafiki wanamkwepa so wengi hujifungia ndani na kupitia msongo mkubwa sana katika umri mdogo sana wa 20+.

Hii si kitu nzuri kwa jamii yetu. Mimi naumia sana ninapokutana na bwana mdogo age 20 na zaidi amekata tamaa ya maisha na anajiona ni outcast katika jamii tunayoishi.

Niwasihi madogo msiwe mnakaa kimya, kama upo hapa na upo depressed usisite kuongea na mtu na kusema namna unajiskia. Maisha hayatakiwi kuwa ya upweke hata kidogo.
 
Kuna watu hata hizi horror movies zinawaburudisha, sijui kivipi lakini wapo aina hiyo ya watu, ni sawa na wanaosikiliza ile miziki ya makelele sijui inaitwaje, lakini inawashabiki wake.
Burudani ziko tofauti sana, kuna wanao burudika kuuua, au kuumiza wenzao. Yani anapo kusurubu yeye anaburudika.
Kule Colorado waliruhusu recriational marijuana, yani kuvuta bangi ili kuburudika, hapa kwetu wapo ambao wangependa hivyo kuna kina Musukuma lakini ndio serikali imekataa burudani zenye madhara kwa binadamu.
Burudani ni pana sana.
Ukiona ni mwanamke anapenda kuangalia horror movie na haogopi kuzitazama ana enjoy. Hao ndio wale mabinti anakuwacha bila sababu na unavyoumia unabembeleza arudi hafeel chochote anaona ni sawa tu wewe kuumia moyo na kuteseka...

Kuna binti alikuwa hivyo, anacheki mamovie ya horror na ndio anapenda halafu hata hashituki.... Nikaona huyu anaweza niwekea sumu kwenye chakula akaenjoy kuniangalia nikidedi..... Nikamtema bila taarifa rasmi
 
Mi nilikuaga mvivu sana kipindi naishi na mama angu alipenda kuniita mvivu...alipofariki nikaanza kukaa na mamkubwa nikashangaa mamkubwa akawa ananambia wewe wala sio mvivu akikuta sijaamka mbka sa 2 ananiamsha ananambia wewe mchapa kazi unalalake mbka saiz, na haikua katika hali ya kunidhihaki bali alikua siriaz anashangaa kwann binti ake sio mvivu alale mbka sa mbili..alikua akikuta nimepika ananambia nilijua tuu wewe ni champion ntakuta ushapika wakat huo kaz zngine sijafanya..

Basi kwa style io nikajua kumbe mm si mvivu mbka mama ananiita champion nikaanza kua mchapa kazi mzur uvivu cjui uliishia wapi.
Aaaauuwh baby......come here..... Njoo nikupe hug... U need it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom