Unajua huwa nashangaa sana akili za baadhi ya watu kama nyie [emoji3][emoji3]
Labda nikuulize swali jepesi watamalizwa na nani? Mama samia? Mama samia ni chadema? Au sababu wamemtoa sabaya kafara kuwafurahisha mioyo na nyie mnaelekea kibra? Yani hamko smart kabisa. None of you can decode the political game. Sahivi chadema wote wanashangilia as if wamechukuwa nchi [emoji23][emoji23][emoji23]