Ili tujue kama unafahamu historia ya nchi hii, miiko ya uongozi na maadili ya utumishi wa ummaInahusu nini?
Halafu ukishajua?Ili tujue...
Achana na mambo ya mila mila ndugu. ..mila ndiyo nini ? Tupa kule! Acha macho yetu yafurahi! Wewe na mila zako vaa miwani ya mbao!Tanzania tuna mila na desturi zetu na huyo wa Croatia kwao ni kawaida, kama nawe unaona ni sasa waambie ndugu zako wote wakike wawe mavazi ya nusu uchi
Na wewe pia unafuata taratibu za kiulaya ulaya hapa hapa! Huu ustaarabu unaoutumia kusema unayoyasema ni ustaarabu wa wazungu ambao umeuiga na kuutumia kila siku! Nyani haohi kundule! Sijui bila ustaarabu wa blog na internet nadhani ungekuwa unapiga mayowe kwa kutumia. Kifuu cha nazi.Hapo ulipo nina hakika unafuata tamaduni nyingi tu za ulaya. Hata jina lako tu ni la kiulaya ulaya.
Kwani nimekuambia sifuati taratibu za Ulaya?Na wewe pia unafuata taratibu za kiulaya ulaya hapa hapa! Huu ustaarabu unaoutumia kusema unayoyasema ni ustaarabu wa wazungu ambao umeuiga na kuutumia kila siku! Nyani haohi kundule! Sijui bila ustaarabu wa blog na internet nadhani ungekuwa unapiga mayowe kwa kutumia. Kifuu cha nazi.
Ushasema Crotia....ulaya, kwani wale wana Mila na desturi za kusitiri maungo yao!!?Acha umbea wewe. Sasa unarudia rudia picha ili iweje. Mbona rais wa Croatia aliwahi kujiachia zaidi ya hapo na hukusema kitu?
Kumbe mnakereka!! Si muongee tu huu uoga utawakosti sana, ardhi inaongea!!!!!Acha umbea wewe. Sasa unarudia rudia picha ili iweje. Mbona rais wa Croatia aliwahi kujiachia zaidi ya hapo na hukusema kitu?
Una maana wanatembea uchi?Ushasema Crotia....ulaya, kwani wale wana Mila na desturi za kusitiri maungo yao!!?
Wapi ulisikia ardhi inaongea?...ardhi inaongea!!!!!
mbona hamuelewek kama hamtaki mambo ya mila mila endeleen kuzisifia hzo picha hata saa hzAchana na mambo ya mila mila ndugu. ..mila ndiyo nini ? Tupa kule! Acha macho yetu yafurahi! Wewe na mila zako vaa miwani ya mbao!
Sio hivyo tu ndugu na OCD atatakiwa imtoke saluti mh Jokate kama nisipokosea.We ndezi nini sasa tamaduni za ulaya ndio unataka kuzileta hapa?ni siku hizi tu ndio mmeamua kunajisi hizinyadhifa za U RC DC!!miaka ya nyuma huwezi kuta wahuni tu wanapewa nyadhifa kama hizi ila kwa kuwa siku hizi hakuna vetting ni kuteua tu ili uwakomeshe wengine ndio haya yanayotokea!!jokate ndio anaenda kuwa mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya?kweli