dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Hutaki wewe na nani?Mimi nataka huyo attention seeker anayejipambanua tofauti na wengine kuwatumikia watu.Inaelekea wewe ni Press secretary wake mzuri ,hatutaki viongozi attension seeker
Naona vidole vimeteleza broZakayo alikuwa Mtu mfupi sana lakini alitamani kumuoa masihi akapanda juu ya mti
Hii habari ya Zakayo inafundisha ili uweze kuonekana iwe kazini au kwenye siasa au mtaani lazima ujionyeshe au ujikweze
Hii principal, Mimi binafsi natumia sana nikiwa na maslahi binafsi
Jokate acha nae afanye hivyo, Bila kuonekana nani atakuona, Ikiwezekana apande juu ya mti Kama Zakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamanda wanakereka sana na habari za maendeleo kama hizi.
Mkuu samahani umesema analima mwenyewe? Yaani Jokate anashika jembe analima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Show off
Ndo hapo najiuliza na Mimi?Ati unasema kuanzia katikati ya mwaka ndo ataanza kula jasho lake! You can't be serious, kumbe alikuwa anakula la nani?
Jokate the shining star, hongera sana, atafika mbali, atawaacha mbali sana kina Ester Matiko
Anatimia tecno Y1Naona vidole vimeteleza bro
Jajui asione vya elea vina wenyewe! Na wengine hawajaribiwi.Huyu demu unam promote sana hapa jukwaani vipi unamgao wako nini Msagasumu
Sent using Jamii Forums mobile app