Jokate agoma kukaa ofisini

 
Makamanda wanakereka sana na habari za maendeleo kama hizi.
 

au photo op

Ni zana ya enzi na enzi, wenzetu wanazo dhana hizi mpaka kwenye kamusi.

photo op


photo opportunity

noun

Definition of photo opportunity
: a situation or event that lends itself to and is often arranged expressly for the taking of pictures that give favorable publicity to the individuals photographed


Hali ama tukio linalosababisha na mara nyingi limeandaliwa kwa makusudi maalum ya kuchukua picha ambazo zinatoa umaarufu wa kumpaisha mtu aliyepigwa picha
 
Sifa nyingine za kijinga ujue...
Jr
 
Kiki za kishamba in vain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alivyo mrefu tofauti na zakayo akipanda juu ya mti si ataonekana mpaka na Putin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a senseless thread!
 
ile nafasi alipata samatta saivi villa wangekuwa wanaongoza 2-1
 
Ester usimfananishe na kina wema na jokate
Ati unasema kuanzia katikati ya mwaka ndo ataanza kula jasho lake! You can't be serious, kumbe alikuwa anakula la nani?
Jokate the shining star, hongera sana, atafika mbali, atawaacha mbali sana kina Ester Matiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye anaonwa zaidi chumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…