Jokate agoma kukaa ofisini

Jokate agoma kukaa ofisini

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
46691008_377008032874685_3671116196312381557_n.jpg
47689862_368310000597489_1131518622637586642_n.jpg
49393767_346232249528838_5134785272838751406_n.jpg

Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.

Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.

DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
 
Zakayo alikuwa Mtu mfupi sana lakini alitamani kumuoa masihi akapanda juu ya mti

Hii habari ya Zakayo inafundisha ili uweze kuonekana iwe kazini au kwenye siasa au mtaani lazima ujionyeshe au ujikweze

Hii principal, Mimi binafsi natumia sana nikiwa na maslahi binafsi

Jokate acha nae afanye hivyo, Bila kuonekana nani atakuona, Ikiwezekana apande juu ya mti Kama Zakayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mawe we jamaaaaaa
 
View attachment 985182View attachment 985183View attachment 985184
Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.
Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.
DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
Naona unajifagilia.
 
Ati unasema kuanzia katikati ya mwaka ndo ataanza kula jasho lake! You can't be serious, kumbe alikuwa anakula la nani?
Jokate the shining star, hongera sana, atafika mbali, atawaacha mbali sana kina Ester Matiko
 
View attachment 985182View attachment 985183View attachment 985184
Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.
Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.
DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
Inaelekea wewe ni Press secretary wake mzuri ,hatutaki viongozi attension seeker
 
Kwa kuwa ameamua kwa hiari yake mwenyewe kujionesha kwa wananchi, Mimi nimependa hako ka umbo kake ndani ya skin tight hiyo aliyovaa.
 
View attachment 985182View attachment 985183View attachment 985184
Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.
Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.
DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
Kwa awamu hii hata kama ungekuwa ni wewe mkuu ukiwa DC/RC n.k (all political posts) lazma CHENGA NYINGI SANA HALAFU HUFUNGI MAGOLI ili mshangiliaji akuone. Yaan dakka 90 zinaisha umeshapiga pass off 76 Faulo 48, shuti 2 magoli 0.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E
Endelea kukaa nyuma ya keyboard wenzako wakifanya kazi,maisha Ni vitendo sio porojo ndugu,msipumbaze wananchi kwa propaganda uchwara badala ya kuwaeleza wafanye kazi,
usipanic relax, mm nimeandika tu maneno mawili we risala yote hii ya nn? Unapoteza nguvu na muda bure
 
Heading ya Uzi wako inastua sana mkuu. Na haiendani na yaliyomo.

Mm nilidhani hataki kukaa ofisini kwasabb kuna nyoka, ndumba, mauzauza, n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom