Joisi bana

Joisi ana akili sana. Amejibu kiuhalisia na sio kama waliokaririshwa mashuleni.

Mfano wangeulizwa watoto wengi ambao hawakuwahi kufundishwa hio misemo wangejibu nini?

Btw aliojibu hapo sio mtoto otherwise ana IQ kubwa.
 
mshana jr; Leo umeianzisha kwa kicheko siku yangu. Dah! Yuko skuli gani jamani? Anafaa kupelekwa South kwenda kukifundisha kiswahili kule.
 
kumuona mshenzi huyu jois ni kumbaka kimawazo kwani nae anamtizamo na mawazo pia
πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ™πŸ™ nazareti kabisa wewe,bladi fuli kijana huna nidhamu wewe
 
kwa mujibu wa joisi ina maana mtu mwenye kipara hana akili? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji779] [emoji779] [emoji779] katoto kachochezi haka.... Kwa vyovyote katakuwa UKAWA haka
Teh teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…