Paka akiondoka - atarudi baadaye
Mwenda tezi na omo - hajajua kuna aerial
Mpanda ngazi -Ni mfanya kazi wa Kenya power.
Haba na haba - ni haba mbili.
Mtaka cha mvunguni - avute kitanda.
Ukiona viaelea -zimekufa
Maji yakimwagika -chota mengine
Paka akiondoka - atarudi baadaye
Mwenda tezi na omo - hajajua kuna aerial
Mpanda ngazi -Ni mfanya kazi wa Kenya power.
Haba na haba - ni haba mbili.
Mtaka cha mvunguni - avute kitanda.
Ukiona viaelea -zimekufa
Maji yakimwagika -chota mengine
Yaani huyu sasa ndio anayefanya application ya knowledge na sio kukariri. ha ha ha ππππππ --- Anasoma swali, analichekecha, kisha anakuja na logical conclusion.