Joisi bana

Joisi joisi
Cha mlevi huliwa na malaya
mama wa kambo= hulala na dady
Mtoto unlieavyo ndio ananona
Ukitafakari utagundua Joisi anajieleza maisha anayolelewa na changamoto anazopitia kutoka kwa waleza/wazazi wake...
Namuombea Mungu amjalie wepesi........
Lakini Joisi ha ha ha
 
jogoo washamba hadinyi mjini??ndio niniπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Na Kiuhalisia ukiachanan na methali yuko sahihi kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…