JOINING INSTRUCTION

cmomwa

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
55
Reaction score
8
Wakuu mimi nmepangiwa kifaru secondary school IPO moshi sasa wakati natafuta joining instruction nmekuta ya 2017 vp naweza kuitumia au kama mwenye nayo ya 2019 naomba anisaidie wakuu
 
Umeipata wapi? Na mimi natafuta kwa ajili ya bwamdogo wangu
 
Bora muende shuule aisee...

Upumbavu ulikuwa mwingi saana humu.

Form 5 joining instruction ni zile zile tu... We nenda maduka yapo kila mkoa. Wenge la nin?
 
Joining instructions huwa zinapatikana kwenye website ya Tamisemi ila kwa sasa hazijaanza kutolewa kwenye web nadhani kuanzia wiki inayoanza Jumatatu zitaanza kupatikana kwenye website ya Tamisemi.
 
Zimetoka usiku Jana so zipooo on line nichek whtusp 0622726502
Wakuu mimi nmepangiwa kifaru secondary school IPO moshi sasa wakati natafuta joining instruction nmekuta ya 2017 vp naweza kuitumia au kama mwenye nayo ya 2019 naomba anisaidie wakuu
 



View attachment 1116512

View attachment 1116514

View attachment 1116516

Embu weka za mwaka huu, acha kutupotosha na kutaka tutembelee blog yako wakati hakuna kitu.Hizo zote hapo ni za 2018/2019. Poor blogger
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…