Mkuu upo??Elia
JF Senior Expert Member
Join Date : 30th December 2009
Location : magogoni
Posts : 2,492
Rep Power : 803
nawashukuru members wote hapa JF, Mods, marafiki niliopata, junior members, senior Expert members na premium members,
sinta wamention. Leo Nimekua mmoja ya wadau wenye umri mkubwa humu jamvini... kwa hilo Leo nafanya mchakato wa kutoka hapo kwenye blue kwenda kwenye green (na cheki na Invisible) 2012 nitakuwa na status tofauti na ushiriki tofauti
HAPPY NEW YEAR 2012
wiTh LoVE from YouR BroTher. Elia
Niwekee ASHUA zangu kabisa aiseeeNipo kaka leo tuna kula mbuzi
Yaani umejiunga 2009 halafu una vipost visivyozidi hata buku tatu? We kweli kilazababu.
FF nilimpa TWIN wako AshaDii zawadi yako ya Krismasi alikufikisha au iliishia njiani?Hivi wewe ni nini haswa kinakusibu? kila kitu kwako lazima ukosoe. Nna uhakika umelelewa na bibi wewe.
Hahahaha!!! Inabidi kabisa...Ngoja niwastue madogo wanaochinja wasije jisevia kabisa... utapendelea na chipsi au ndizi
FF nilimpa TWIN wako AshaDii zawadi yako ya Krismasi alikufikisha au iliishia njiani?
Hivi wewe ni nini haswa kinakusibu? kila kitu kwako lazima ukosoe. Nna uhakika umelelewa na bibi wewe.