Is CDM a member?Duh! bado yupo? hongera zake
majukumu yake tafadhaliJohn Shibuda amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini.
John Shibuda amechukua nafasi hiyo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw Peter Mziray kutoka chama cha APP Maendeleo, kumaliza muda wake.
View attachment 448225
HapanaIs CDM a member?
Sawa kabisaShibuda hana impact yoyote katika kuleta mabadaliko katika Nchi hii.
Hilo baraza pia siku zote hatujawahi kulisikia likifanya lolote la maana.
Kusanyiko la vibaraka wa CCM, bullshit!Duh! bado yupo? hongera zake
NotedKusanyiko la vibaraka wa CCM, bullshit!
OK!Vyama visivyo na wabunge
Kupinga matamko na maendeleo ya vyama halisi vya ushindani.Lina majukumu gani
Ndio kwaanza nalisikia haya ngoja tuoneShibuda hana impact yoyote katika kuleta mabadaliko katika Nchi hii.
Hilo baraza pia siku zote hatujawahi kulisikia likifanya lolote la maana.