John Shibuda achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
776
1,330
John Shibuda amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini.

John Shibuda amechukua nafasi hiyo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw Peter Mziray kutoka chama cha APP Maendeleo, kumaliza muda wake.

15542296_1146949115402762_577929166656850849_n.jpg
 
Shibuda hana impact yoyote katika kuleta mabadaliko katika Nchi hii.

Hilo baraza pia siku zote hatujawahi kulisikia likifanya lolote la maana.
 
Vibaraka wa ccm wanapeana vyeo, kuleni hela ya bure ya ccm maana wananchi tunawajua na hamuwezi kupata kura zetu wananchi ng'oo
 
Back
Top Bottom