Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
- Thread starter
-
- #81
The late Pof Haroub Othman once said: Democracy ni pamoja na kusikia yale usiyoyapenda/kuyakubali.
What do you expect if the thread itself is subjective and do not want oppisite views?
subjective relative to reactive mode. Refer to newton's 3rd law of motion. And being subjective depends on the subject, but in politics... Subjectivity is what brings nations and societies into conflicts
Yes, you got it right!!!!!!!!!!
Na nani?
kwani nani anachagua Rais wa tz? hao hao mliomweka kikwete muwekeni na huyu
bila kuwa na roho mbaya huwezi kuwa bilionea
ukicheka cheka utakuta nyani wamekula mahindi yoote
[video=youtube_share;9rJoZWUxjz0]http://youtu.be/9rJoZWUxjz0[/video]
kwani nani anachagua Rais wa tz? hao hao mliomweka kikwete muwekeni na huyu
Pamoja na show zake za kujipendekeza kwa watanzania, kamwe hatutamsahau wala kumsamehe kwa hasara aliyotuletea kwa kufanya jambo la ajabu na ambalo halijawahi kutendeka nchi hii, la kuuza nyumba za serikali na waliostahili kuishi kwenye nyumba hizo kupelekwa mahotelini tunakowagharimia hadi leo! Bwana huyu hafai kabisa na akipewa nchi atauza hata sehemu ya bahari.APEWE!?
ZIMEKUWA PIPI?
Kama akiwa waziri aliuza nyumba za serikali,akiwa rais si atauza nchi mwanaharamu huyu?
mkataeeeeeeee!!!
Wengi tunamheshi mu sana kusimamia miradi ya mabilioni ujenzi wa barabara zetu kwingi nchini bila kusikia tuhuma za UFISADI lakini kura yangu hawezi kuipata kamwe mpaka awe amejitenga na genge kubwa la MAFISADI waliojaa ndani ya CCM au achague kwanza kuwaachia hao MAFISADI chama.
Bila hivo, DrMaghufuli hata Dr Shein, pamoja na heshma yoooote kwao, itabidi walie tu; hakuna kura hapa ya kwenda kuimarisha zaidi UFISADI wa wana CCM wengi wasiosikia lolote hao.