John Pombe Magufuli faces cash crisis

Mkuu husitegemee kusikia habari +ve kuhusu Serikali yetu kutoka magazeti ya CITIZEN na Mwananchi - hayo ni magazeti ya kigeni na wao wana ajenda zao za siri. Mtu unaweza kufikiri magazeti haya ni moja ya chama pinzani Tanzania, sina shaka habari hizi -ve kuhusu Serikali yetu inatokana na chuki binafsi baada ya mtu wao walio kuwa wanategemea atakamata dola kuhanguka - sasa ndio wanakuja na plan B ya kutaka ku-undermine efforts za Dk.Magufuli - wanakuja na horror stories zenye lengo la kukatisha watu tamaa as if Dk.Magufuli hana uwezo wa ku-run Taifa letu - hivi wanataka kutueleza kwamba Taifa letu liko hali mbaya kifedha kuliko hali ambayo Kambarange alimwachia Mzee Mwinyi?? - Binafsi naona huo ni uzushi mtupu.
 
asante Dada umeongea vizuri sana , yaani wakina mwafulani wajijue kabisa wagonjwa wanaofariki kwa kukosa dawa au wanafunzi wanaoshindwa kusoma kwa kukosa ada machozi yao yatalipwa na vizazi vyao hao mapaka kama sio leo hata miaka ijayo, watoto wao wanaweza soma hata ulaya lakini mwisho wa siku wakawa mateja, mashoga na mabaya yote ili mradi milaana ya wazazi wao kutuibia watz
 
3bn/- Tshs ni pesa ya kuongelea sirikali kulipa?mbon hiyo ni pesa ambayo hata mtu binafsi anayo tu?Elewa kuwa hizo ni millioni 3000,siyo pesa nyingi kihivyo.
 
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.

.
uchaguzi ulikuwa mwezi gani? hela yote ilikombwa kwenye kampeni na haikutosha serikali ikauza hisa zake Nmb kinyemela.
.
 
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.

kama mnahela mbona hamlipi walimu wanaosimamia form four
 
Kwa ushauri wauze ma v8 landcruiser na Nissan patrol zote zilizopo ofisi za serikali na mashirika ya umma wanunue rav 4,wadhibiti posho,wapunguze mishahara ya watumishi tra

Rav4 inabei Kali vitz old model ndio iko poa zaidi hata bajeti ya wese itapungua
 
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.
My...kwa maana hiyo hatuhitaj mikopo na misaada kuendesha nchi...kama twakusanya 1.7 trillions kwa mwezi then kwa mwaka ni trillions 20.4
Why then twakopa na kunyenyekea misaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…