Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,262
- 50,077
Tatizo upande wa mashitaka hawajiandai vya kutosha hivyo ushahidi huwa wakubabaisha tu.Hizi kesi huwa zinaanza Kwa kasi,na zinapoisha sasa duuh unabaki mdomo wazi
Tatizo upande wa mashitaka hawajiandai vya kutosha hivyo ushahidi huwa wakubabaisha tu.Hizi kesi huwa zinaanza Kwa kasi,na zinapoisha sasa duuh unabaki mdomo wazi
Mimba ya awamu ya tqno hujaizaa tu? ni miaka miwili sasaHii ina dhihirisha kuwa Awamu ya tano ilijaa mafisadi, wala rushwa kubwa kubwa na viongozi waliotumia madaraka yao vibaya kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.
Maana hakuna namnalaana ya kuharibu uchaguzi mkuu 2020 kwa maelekezo ya jiwe afungwe tu!
Rais Samia anapambana na ufisadi na majizi kwa vitendo sio kama yule mwingine aliyeahidi Mahakama ya mafisadi huku akishindwa kukamata majizi.Mkurugenzi huyo wa zamani aliyeondolewa madarakani na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa , amefikishwa Mahakamani Leo , ambako bado haijafahamika kesi inayomkabili .
Tunaendelea kufuatilia .
Nabii wa Mungu Godbless Lema alimtabiria John Pima haya yanayomtokeahe is now fucking with karma of fake election
Unabii wa Lema huo...
Sabaya Yuko nje ya gereza?Hizi kesi bana Kama sabaya na ujambazi wake kachomoa hata huyu atachomoa
🤣😅Huko bungeni mbunge wake kaendelea kuchochea kuni
Haya ndio malipo ya dhulma. Mungu siku hizi hachezi mbali. Wizi wa kura umemfikisha hapo.17 June 2022
MKURUGENZI ARUSHA ALIYETUMBULIWA NA WAZIRI MKUU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MASHTAKA HAYA!
Mkurugenzi wa zamani wa Arusha, John Marko Pima, aliyeondolewa madarakani na Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa , amefikishwa Mahakamani Leo akituhumiwa kwa mashtaka mawili ya Tshs. 65 milioni ya uhujumu uchumi, sheria ya 2016 ya rushwa hivyo wapo huru kupata dhamana na masharti ambayo hakimu mkazi atawapa watuhumiwa.
Kamba ilifunguka akapitilizaAlijitahidi kula urefu wa kamba yake,sema kazidisha.
Mrisho Gambo alifanya kitendo cha kishujaa sana , na anastahili pongezi kabisaa
Duh !!!Kam
Kamba ilifunguka akapitiliza
Lema kama kawaida yake,akikutabiria huchomoi
Lema ni NabiiLema kama kawaida yake,akikutabiria huchomoi