Akina John waliotabiriwa na Nabii Lema wajiangalie sanaNabii wa Mungu Godbless Lema alimtabiria John Pima haya yanayomtokea
Peleka huko upuuzi wa lema. Yeye alishindwa tu kama wabunge wengine waliyokua chadema.Mkurugenzi huyo wa zamani aliyeondolewa madarakani na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa , amefikishwa Mahakamani Leo , ambako bado haijafahamika kesi inayomkabili .
Tunaendelea kufuatilia .
========
Ameshitakiwa kwa Makosa Mawili
Upotevu wa Pesa Sh mil 65 pamoja na Uhujumu Uchumi .
Zaidi ni kwamba aliwahi kuonywa na Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema , kwamba Ushiriki wake kwenye wizi wa kura wa 2020 Mungu atalipa
View attachment 2264131
sasa unalia nini ?Peleka huko upuuzi wa lema. Yeye alishindwa tu kama wabunge wengine waliyokua chadema.
Kuhusu huyo mkurugenzi ameshikwa na mkono wa sheria kwa kuamini umagufuli umeisha wakati magufulists bado wako serikalini.